HapanaKuna ndugu yako hata mmoja mkuu alikuwemo humo ndani?
Viongozi wa nchi ulitaka nijisikiaje?Daa unajisikiaje mkuu hao wote leo wamelala dodoma wanakula kodi yako aise daa
Acha roho za umasikini fanya kazi kijana.Uhuzunike mkuu kati ya wageni wote hao mkuu huna ndugu hata ambaye angalau anakula keki
Mwanangu Mimi siyo maskini ndiyo maana kati ya hao wanaokula keki kuna ndugu yangu.Acha roho za umasikini fanya kazi kijana.
Naona Pwagu Na Pwaguzi mnajibishanaAcha roho za umasikini fanya kazi kijana.