Aisee Bongo movie bado sana tusubiri miaka 1000

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,931
Kwa wale watazamaji wa series ya game of thrones kuna mwanadada anajulikana kama Daenarys Targaryen ambaye jina lake halisi ni Emilia Isabelle Euphemia Rose Clarke, raia wa Uingereza kazaliwa mwaka 1986.
Huyu dada analipwa Euro milion 2 kwa kila epsode anayoshiriki ambazo kwa pesa yetu ya madafu ni sawa na bilion 5.45. KIla series ya game of thrones inakuwa na epsodes nane ina maana akionekana kwenye epsodes zote kitu ambacho mara nyingi uwa inakuwa hivyo anakuwa kavuta bilion kama 50 za kibongo.
Mpaka Mbongo movie ije kufika hapa ni miaka 1000 ijayo.
Malipo hayo ni kwa mtu mmoja sasa jiulize GOT ilivyo na characters wengi sijui budget yake itakuwa kiasi gani.
Lakini ela itakuwa inarudi maana ndiyo series ambayo kila season ikitoka inavunja rekodi ambayo uwa inaiweka yenyewe yani GOT ndiyo series inayofuatiliwa zaidi na imekuwa kuwa ikivunja rekodi yake yenyewe kwa kuongoza watazamaji kila season yani toka ianze kutoka kila season watazamaji wanaongezeka badala ya kupungua na pia ndiyo series inayovunja rekodi kwa kudownloadiwa kiwizi wizi.
Season ijayo ni ya mwisho..................
 
Mkuu sema game of throne wanalusha loho sana ata uyo Dada na khal drogo wamelusha logo mle saa iyo billion ni hatali kaonesha na uchi wake kwann asilipwe
 
kwani kuna watu wanaangaliaga bado huo uchafu wa bongo
 
Naamini moja ya sababu ya bongo.movie ku fail ni kujiingiza katika siasa. Wanajua kabisa jinsi gani siasa ina effect kubwa sana kwa vijana hapa nchini, kitendo cha wao kuonyesha mahaba na upande fulani, kinawafanya vijana wengi kutokutaka kusupport kazi zao all in the name of siasa.

Bongo movie walifanya mistake kubwa kuingia kwenye siasa.

Chapili ni maadili. Wasanii walitakiwa wawe kioo cha jamii, sio kioo cha maadili mabaya. Tumeona jinsi wasanii wengi wanapoteza dhamani kwa kujiachia uchi wakidhani ndio wanapata kiki kumbe ndio wanaharibu.
Wajifunze kwa gabo, kiki si nyingi lakin kazi yake inajitangaza na inamtangaza yeye.

Bongo movie wanatakiwa warud nyuma na ku reflect nini kimefanya tasnia ife. Wafanye kazi kama team, waache umimi.
 
mm n mpenzi wa series sijui kwa nn hii hainipi mzuka kuitafta,,wadau kwa shhort summary,hii k2 inahusu nn zaid
 
kwa sasa wapo bize wanaigiza misibani na kusutana, wakimaliza wanaanza kufikiria kampeni za 2020. Hayo mengine ni yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…