Aisee Bongo movie bado sana tusubiri miaka 1000

Aisee Bongo movie bado sana tusubiri miaka 1000

Kuna kipande kimoja katika bongo movies, kuna mtu kamiminiwa risasi kama 1500 hivi alikuwa juu ya piki piki basi akashuka na risasi zake mwilini akapaki pikipiki kisha akafa.
[emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1]
 
Kuna kipande kimoja katika bongo movies, kuna mtu kamiminiwa risasi kama 1500 hivi alikuwa juu ya piki piki basi akashuka na risasi zake mwilini akapaki pikipiki kisha akafa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mm n mpenzi wa series sijui kwa nn hii hainipi mzuka kuitafta,,wadau kwa shhort summary,hii k2 inahusu nn zaid
Mkuu hii kitu ni ngumu kusimuliaView attachment 766124
f4eb5fa2cebbbfa44476f48de26c847a.jpg
 
Hongereni Bongo Movies kwa kulipia huduma za matibabu za Mzee Majuto nchini India.
 
Kwenye hiyo bilion 50 hakuna makato ya kodi?
 
Mambo mengi tena ya maana na watu wengi wa maana yamepoteza mvuto na hamasa kwa jamii baada ya kuingiza kazi kwenye SIASA.

Fani au biashara yako ukiingiza kwenye SIASA tu, tambua umeanza kuwagawa mashabiki.
Wasanii wetu wameingizwa kwenye siasa bila wao kujua madhara ya baadae.

Badala ya kuwatafsiri kama wasanii , sasa tunawaita wanachama wa chama fulani.

Hii inaathiri pia kazi zao.
Ndiyo maana wanapopatwa na tatizo lolote , comments nyingi humuelekeza upande wa Chama anachokitetea badala ya kusaidiwa na watu wote.
 
Kuna kipande kimoja katika bongo movies, kuna mtu kamiminiwa risasi kama 1500 hivi alikuwa juu ya piki piki basi akashuka na risasi zake mwilini akapaki pikipiki kisha akafa.
Hahaaaaaaaaa haaaaaaa heeeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama Bado. Toa pesa unoe kama awawezi. Tatizo ni pesa tu. Wakiwezeshwa bilashaka wataweza
 
mm n mpenzi wa series sijui kwa nn hii hainipi mzuka kuitafta,,wadau kwa shhort summary,hii k2 inahusu nn zaid
Mkuu hii series ni noma sana weka mbali na watoto imetokana na series ya novels zinaitwa the seven kingdoms japo kuna mabadiriko mengi kwenye series kiasi kwamba ukiwa umesoma vile vitabu huenda ukaona hata story hazifanani...
Ni kingdom saba na watu saba kila mmoja ndiye anadai ana haki ya kuwa mtawala wa hizo falme.
Sasa mtiti wake ni noma ila ndani kuna vistory story vingi usaliti, revenge, aliyedharauliwa kuja kuwa ndo mwenye nguvu, siri, nguvu za giza yani ni full package.
Nilidhani spartacus ndo itakuwa my best series ila GOT acha kabisa mkuu
 
GOT ni bonge la series yani..kwangu ni namba mbili kwa ubora

Moja bado imesimama breaking bad
 
Kwa hyo unataka kusema kwa season moja emilia Clarke anaweza kuinunua simba sports club(mikia) na akabaki na 30 billion [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom