Aisee Bongo movie bado sana tusubiri miaka 1000

Kwa hyo unataka kusema kwa season moja emilia Clarke anaweza kuinunua simba sports club(mikia) na akabaki na 30 billion [emoji23] [emoji23]
Yah mkuu, lakini ujue hakuanza lipwa hivyo kwenye season za mwanzo, kaanza lipwa hivyo kwenye season iliyopita na ndiye amekuwa highest paid actor kwenye upande wa series.
Anasifiwa kwa kuweza kucheza uhusika maana series inaanza kakiwa hakana nguvu kaoga kanaogopa ogopa ila series inavyoendelea mpaka sasa ni among the most feared people nguvu ya kupigana hana ila anajiamini akiwa na dragon wake
 
.
aseee,,ngja niipakue nijionee
 
.
aseee,,ngja niipakue nijionee
Kupakua kutakupotezea muda tafta 14000 nenda mwenge wakuwekew zote kwenye external maana mpaka sasa ishafika season ya saba bado ya nane ndo tunaisubiria na ndo ya mwisho
 
Kupakua kutakupotezea muda tafta 14000 nenda mwenge wakuwekew zote kwenye external maana mpaka sasa ishafika season ya saba bado ya nane ndo tunaisubiria na ndo ya mwisho
.
aaah owkay mkuu.shukrani
 
Kuna kipande kimoja katika bongo movies, kuna mtu kamiminiwa risasi kama 1500 hivi alikuwa juu ya piki piki basi akashuka na risasi zake mwilini akapaki pikipiki kisha akafa.
Ume nifurahisha sana mkuu..,😛😛😛
 
GOT ilivyoanza sikuifatilia. Nikaja kuiangalia baadae na ikanivutia sana. Especially the love between Arya na Jon Snow.

Upukupuku wa bongo movie wabaki nao tu mpaka leo bado damu wanatumia tomato sauce, jambazi lzm akunje sura, housegirl lazima awe mchafu,
 
Tatizo ukikipenda hiki chama hata thinking inaathirika ndo maana bongo movie wako hivyo walivyo
 
Mimi sioni kama kushiriki mikutano ya siasa ndo kumewaangusha.
Mtazame Diamond aliyeshiriki hiyo mikutano, yupo wapi sasa.
Tatizo la Bongo movie hawaendi na wakati katika utunzi wao. Mi huwa nakerwa na maigizo yao tangu afe Kanumba sina mood nayo
 
Kuna kipande kimoja katika bongo movies, kuna mtu kamiminiwa risasi kama 1500 hivi alikuwa juu ya piki piki basi akashuka na risasi zake mwilini akapaki pikipiki kisha akafa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] only in bongo movies
 
Hivi maandamano yao ya kushinikiza kuangalia kwa lazima bongo movie aliishia wap?
 
Hivi hayo ma bongo muvi bado watu mnayaangalia?
Haya sasa kama nyie wenyewe hamu yaangalii msilaumu wakilipwa buku buku tuu.
Mi spendi bongo movie lakini sijawahi walaumu kwa kulipwa kdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…