Aisee hata JF kuna mabinti visu

Kuna huyu ID yake inaanzia na V...........a
Binafsi namkubali saaaaana, anaonekana ni mstaarab.
 
Kama umeona siyo vizuri kuweka picha yake, hii stori umeweka ya nini?
Huu utaratibu wa picha mbona hau apply kwa thread nyingine? Muhusika hajakubaliana na hilo na sio vizur kuvunja matakwa ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…