Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #81
Ntamuweka nusu nimeshaongea naye..bila kuweka picha hii thread haijakamilika embu muweke tumuone..
Mangi shimboni mnama akoWewe wasema mkuu.. mwanamke kisu anaonekana bana.
Ndo mana sijamtaja mkuu. Nadhani sijafanya kosa lolote.dah bora umemueleza...ajifunze kuwa nakifua,ndio uwanaume...sio anaongea kila kitu.
hahahahaa kwa sababu sija reveal id ya muhusika.. there is a chance you stand to be right. lmao...... 😉😉
inatokea mkuu.. unaweza kuwa kwenye mada fulani then ukatokea ukaribu fulani mpaka wa mawasiliano. japo usiishi kwa kutegemea mambo kama hayo.. hutokea yenyewe ila not always the case. nadhani umenielewaIlikuaje mkakutana mkuu, hebu nisaidie hzo mbinu na mmi nijitahidi huenda nkakutana na sime yenye kisu
Hapana mkuu sija m naantombe bana. Mambo taratibu sio kukurupuka. Yaani ukutane na mtu siku moja halafu utake kum naantombe no no no.. hiyo ni blunder move.Naantombe sema tu kama ulimnaantombe. Unaficha ficha nini? Aaaaargh!
wewe wasema mkuu.. labda kwa sababu haijawahi kukutokea. Lakini haibadilishi ukweli wa nilichoandika.Hii ni chai!
Hahahaa unataka PM yako ichafuke sahiv?Hongera aisee kwa kukutana na kisu
eeeka meku akwa..Mangi shimboni mnama ako
ValentinaKuna huyu ID yake inaanzia na V...........a
Binafsi namkubali saaaaana, anaonekana ni mstaarab.
Ulifanikiwa kupima oil mkuu ili ukamilishe na sifa za kisu unaezakuta Ikulu hamna kitu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nafikiria kuweka picha ila ID hapana. But picha ntaweka kuanzia shingoni. nimeongea nae kasema sawa.
Njoo unirushie kwa pm yangu mwayaHahahah bora umewajibu wewe. Na ngoja niweke picha hapa ili maandamano yaendelee.
Hahah mapema sana mkuu.. minor thing kwangu ila siku zijazo ntalipa kipaumbele..Ulifanikiwa kupima oil mkuu ili ukamilishe na sifa za kisu unaezakuta Ikulu hamna kitu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nafanya utaratibu niweke hapa ila ni picha nusuWeka picha mkuu.
kama ni wewe niambie na mie nije PM aiseeeeIli mfurike pm eeh