Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Kuna wakati mji wa Dar es salaam ulikuwa wenye rotuba for "DREAMERS", sasa hivi ni mji wa "MAKERS"
Kuna wakati vijana kutoka Kigoma walidandia treni kuja Dar, atagongea pa kulala, baada ya miaka 10 maisha yao yanabadirika, sasa hivi jaribu uone
Kama una kipisi cha ardhi huko kwenu kalambimbi tafuta namna ukithaminishe upate hela ya kula maana dar imechafuka, Dar imenuna.