Hakuna jipya.....Kuna wakati mji wa Dar es salaam ulikuwa wenye rotuba for "DREAMERS", sasa hivi ni mji wa "MAKERS"
Kuna wakati vijana kutoka Kigoma walidandia treni kuja Dar, baada ya miaka 10 maisha yao yanabadirika, sasa hivi jaribu uone😂
Kama una kipisi cha ardhi huko kwenu kalambimbi tafuta namna ukithaminishe upate hela ya kula maana dar imechafuka, Dar imenuna.
wabongo wachumba sanaWrite your reply...wajuba hatukai mji ambao wanaume wanafanana na wanawake watu tupo bolivia huku mtu anaingia bar na ak 47
dar ya miaka hii miyayusho sanawabongo wachumba sana
Tafadhali, dar ni njemaKuna wakati mji wa Dar es salaam ulikuwa wenye rotuba for "DREAMERS", sasa hivi ni mji wa "MAKERS"
Kuna wakati vijana kutoka Kigoma walidandia treni kuja Dar, baada ya miaka 10 maisha yao yanabadirika, sasa hivi jaribu uone😂
Kama una kipisi cha ardhi huko kwenu kalambimbi tafuta namna ukithaminishe upate hela ya kula maana dar imechafuka, Dar imenuna.
Hakika mkuu,Upo sahihi mkuu ila wengi humu watapinga!...fursa nyingi zipo nje ya dar sasa hv,tengeneza hela nje ya dar nenda dar kula maisha!....
Alafu wanaofanya hiizo fursa wanagombania pesa hio hio moja.Nakubali, kuna siku Dsm nimechapika, nikasema ngoja nichemshe kichwa nini nifanye chap niokoe jahazi, niamini mimi sikuona cha kufanya. Kila fursa inafanywa na kila mdau tena hapo hapo ulipo