Aisee hivi majuzi bi mkubwa aliniokoa sana. Mama ni mama

Chovya chovya haijawahi kumwacha MTU salama .

Ukute huyo she kapinda asubuhi mapema mnaamshwa na sauti ya mtoto mlangoni na kitabu cha maandishi/script ya mtoto wa Nani + madhumuni ya kumwacha mlangoni mda mnasoma script yeye ameshafika kigoma mwisho wa reli. Mtaimba na kusifu kwa lugha ya kichina .

Kuchovya chovya kismart usibebe mzi ambao huwezi kuubeba shii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…