Aisee hivi majuzi bi mkubwa aliniokoa sana. Mama ni mama

Aisee hivi majuzi bi mkubwa aliniokoa sana. Mama ni mama

Ni uhakika kuwa huyo mama yako alishawahi kutoa mimba.
 
Mimba umpe mwenyewe halafu ushukuru umeokolewa.
Unataka wateseke yeye na mtoto wako.
yeye mwenyewe kalelewa na Maza pekee

Kwa ujumbe huo wa Mazeli nikwamba yukotayari kulea atayezaliwa ila sio aaze na m-beba mimba
 
Back
Top Bottom