Aisee Kinondoni kunani, mirindimo ya kuogofya sana

Aisee Kinondoni kunani, mirindimo ya kuogofya sana

Niko macho mudaa huu naskia mirindimo ya ajabu mithili ya Urusi hapo Kiev Ukraine, ni fataki au kitu gani hicho maana usingizi hauji kabisa. Ama ndio uzinduzi wa sensa??
Nchi ya Ovyo Mambo ya Tozo hawayaongelei ,,,2025 watataka Tuwachague wao
 
Bahat mbaya jamii hairuhusu video ningeupload fash fash hizo zilizotokea ni maeneo ya posta
 
Hii nchi inauhuru wa kupitiliza

Mimi nilijua labda nyumbu wanafurahia baada ya kumpiga liverkuku
 
Back
Top Bottom