Aisee Kinondoni kunani, mirindimo ya kuogofya sana

Niko macho mudaa huu naskia mirindimo ya ajabu mithili ya Urusi hapo Kiev Ukraine, ni fataki au kitu gani hicho maana usingizi hauji kabisa. Ama ndio uzinduzi wa sensa??
Tatizo la kuishi huku muda wote iafoni za simu ziko masikioni ukijifanya mutoto ya mujini kwa kusikiliza Bongo fleva, unachoshangaa kilikwisha tangazwa wiki iliyopita kuwa kitafanyika.
 
Bahat mbaya jamii hairuhusu video ningeupload fash fash hizo zilizotokea ni maeneo ya posta
Ni wajinga mmejazana humu mnashinda na bongofleva mkikwepa taarifa za habari, leo mnashangaa jambo lililotangazwa kuwa litafanyika kwenye miji minne.
 
Niko macho mudaa huu naskia mirindimo ya ajabu mithili ya Urusi hapo Kiev Ukraine, ni fataki au kitu gani hicho maana usingizi hauji kabisa. Ama ndio uzinduzi wa sensa??
Mkuu ni wadosi hao wanashereheka...
 
hahahahhaaha kwahyo wakuu fataki tu za wahindi mnataka kuhamia uvunguni halafu ndo kila siku tunajazana misimamo ya kuingia road kukiwasha, mkuu Extrovert kwa hali hii mimi naanza kuwa na heshima.
 
Nilikuwa nishakamata machette kwa ajili ya kukiwasha😂
 
Back
Top Bottom