Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
We acha tu. Mimi nilifikiri mapinduzi na natafuta pa kukimbilia sioni.Kweli kabisa wanazingua sana maana watu wana pressure, fikiria mfano me nipo ugenini Dom nilivyosikia tu muungurumo kama mabomu nikajua yale yale ya G Mboto.
Mapinduzi ya nini?We acha tu. Mimi nilifikiri mapinduzi na natafuta pa kukimbilia sioni.
[emoji1][emoji1][emoji1] aiseeUzinduzi wa zoezi zina la Sensa. Makarani wamewasha vitablet vyao kwa pamoja.
Hahahaha ukajua nchi ishauzwaWe acha tu. Mimi nilifikiri mapinduzi na natafuta pa kukimbilia sioni.
Itakua mkuuAu leo ni Diwali, ile sikukuu ya Wahindu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzinduzi wa zoezi zina la Sensa. Makarani wamewasha vitablet vyao kwa pamoja.
[emoji3][emoji3][emoji3]Uzinduzi wa zoezi zina la Sensa. Makarani wamewasha vitablet vyao kwa pamoja.
Tatizo la kuishi huku muda wote iafoni za simu ziko masikioni ukijifanya mutoto ya mujini kwa kusikiliza Bongo fleva, unachoshangaa kilikwisha tangazwa wiki iliyopita kuwa kitafanyika.Niko macho mudaa huu naskia mirindimo ya ajabu mithili ya Urusi hapo Kiev Ukraine, ni fataki au kitu gani hicho maana usingizi hauji kabisa. Ama ndio uzinduzi wa sensa??
Ni wajinga mmejazana humu mnashinda na bongofleva mkikwepa taarifa za habari, leo mnashangaa jambo lililotangazwa kuwa litafanyika kwenye miji minne.Bahat mbaya jamii hairuhusu video ningeupload fash fash hizo zilizotokea ni maeneo ya posta
Mkuu ni wadosi hao wanashereheka...Niko macho mudaa huu naskia mirindimo ya ajabu mithili ya Urusi hapo Kiev Ukraine, ni fataki au kitu gani hicho maana usingizi hauji kabisa. Ama ndio uzinduzi wa sensa??
Wanasherekea sensa au?Mkuu ni wadosi hao wanashereheka...
DiwaliWanasherekea sensa au?