Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo. Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake.

Picha zinakuja
0A563CC1-19D9-4E9C-AE39-5FEAEE291E93.jpeg
9731127A-03CB-42D7-BE66-1528E716B24B.jpeg
 
Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo.
Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake.
Picha zinakuja
Miaka 30 kwa sheria za nchi gani? kwani kambaka? hoja ya mwanafunzi haina mashiko, Paula hayupo kwenye mfumo rasmi wa elimu tangu 2019, private candidate aweza hata kuwa mama mwenye 50, unaeza mshitaki bwana wa private candidate mwenye 50 kwa kutembea na mwanafunzi?
 
Na kama sifaham vizur sheria mnisahihishe ni kama katiba inasema mwanamke anaeanzia 15yrs yupo fresh kwa kuolewa
 
Back
Top Bottom