Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Kupost picha ya mtu bila ridhaa yake peke yake tayari ni kosa la kimtandao na adhabu yake ni miaka5 au faini au vyote viwili....kwhy piga ua galagaza rayvanny anakosa la kujibu hachomoki hapa
Kajala kampakazia maneno Mobeto , Kajala ana kesi ya kujibu mbele ya Sheria , Kajala ana miaka yake kadhaa kwenye kanyampasira...
 
sasa Kama ndo hivyo basi konde nayeye anakesi yakujibu si kampost ray jana? Mikesi ingekua mingi sasa
Ni tofauti mkuu....alichopost harmonize ni sreenshot kutoka kwenye simu yake...kosa la rayvanny ni kumpiga kajala picha tena ya video na kuipost unless kajala amtetee kua alikubali kupigwa picha vinginevyo sheria itakuchukua mkondo wake
 
Kama ndio hivyo kesi zingekuwa nyingi,maanake hata Konde jana kampost Rayvany instagram.
Ni tofauti mkuu....alichopost harmonize ni sreenshot kutoka kwenye simu yake...kosa la rayvanny ni kumpiga kajala picha tena ya video na kuipost unless kajala amtetee kua alikubali kupigwa picha vinginevyo sheria itakuchukua mkondo wake
 
Kajala kampakazia maneno Mobeto , Kajala ana kesi ya kujibu mbele ya Sheria , Kajala ana miaka yake kadhaa kwenye kanyampasira...
Kama hamisa ataamua kumshtaki kajala kajala nae anakesi ya kujibu unless kajala atoe ushahidi kua ni kweli hamisa ndo alimpeleka paula kwa rayvanny....ila kumbuka kajala hakukurupuka hamisa ametajwa na paula katika kujitetea kwake,..kwhy ushahidi wa paula unawez kumuokoa mama yake
 
Back
Top Bottom