Kascreenshot kwa simu yake mwenyewe harmonize?
Hivi dada yangu ushawahai kusimama pale kwenye kile kichumba kidogo aka kizimbani,pazito pale hayo unayo ya sema Paula kwamba atamuokoa mama yake,usishangae akamchoma mama yake na akaonekana mama mwenyewe hajui kulea na toto lenyewe halifai.
Sababu kwa kesi kama hii Rayvany nae atasimamisha mawakaili wa hadhi ya juu usizani kama atakuja kinyonge,so unaweza ukakuta kesi ikamgeukia,baadae Rayvanny akaomba fidia kubwa kwa kuchafuliwa jina lake, yote yana wezekana kwenye sheria,kwani watu wanachomoka kwenye kesi ngumu za mauaji na hujumu uchumi sembuse kesi hii.