Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nisiwe mnafiki siwezi kumsaidia hata lisaa rumande.Mkuu fidia kwa upande wa kajala wanaweza kuchangiwa hata na wananchi wanaowaunga mkono....ila jela miaka30 hakuna anaeweza kumsaidia rayvanny hata masaa2 pale segerea...kwhy rayvanny ameshika kwenye makali mpaka sasa
Na kuhusu kubakwa hakuna mahali popote ambapo kajala anadai mwanae alibakwa...ila anadai walimrubuni kwa kumpa pombe wakampiga picha bila idhini yake na ushahidi huu nahisi umetolewa na paula mwenyewe baada ya kubanwa na mama yake kuhusiana na hizo clip...kwhy kabla ya ili tukio kajala alikua hajui chochote hapaswi kulaumiwa
Ikithibitika paula amepewa tu udahili katika shule yeyote hata kama bado hajaripoti shuleni rayvanny akifanya mashihara na hii kesi jela itamuhusuJela ya miaka 30 kwa kosa gani mkuu? Mbona huweki wazi..kwann uongelee kitu kisichokuepo?
Mkuu fidia kwa upande wa kajala wanaweza kuchangiwa hata na wananchi wanaowaunga mkono....ila jela miaka30 hakuna anaeweza kumsaidia rayvanny hata masaa2 pale segerea...kwhy rayvanny ameshika kwenye makali mpaka sasa
Na kuhusu kubakwa hakuna mahali popote ambapo kajala anadai mwanae alibakwa...ila anadai walimrubuni kwa kumpa pombe wakampiga picha bila idhini yake na ushahidi huu nahisi umetolewa na paula mwenyewe baada ya kubanwa na mama yake kuhusiana na hizo clip...kwhy kabla ya ili tukio kajala alikua hajui chochote hapaswi kulaumiwa
Wasafi imekula kifungo cha miez miwli tu na sio 6 tena...kwa mtu smart ungejua mapema tu wasafi haiwez fungwa kwa miez 6..Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
Kufoji kumsajiri haiwezekani yani mpk awekwe kwenye mfumo wa necta. Kama yupo out of system ni impossible dada😁Ikithibitika paula amepewa tu udahili katika shule yeyote hata kama bado hajaripoti shuleni rayvanny akifanya mashihara na hii kesi jela itamuhusu
Hakuna mchakato pale..labda huo mchakato wa udahil waanze saiz..hivi paula unafkr anawaza hata hiyo advance?Ikithibitika paula amepewa tu udahili katika shule yeyote hata kama bado hajaripoti shuleni rayvanny akifanya mashihara na hii kesi jela itamuhusu
Umefananisha vitu viwili tofauti situation ya Wasafi ni Mond Vs Serikali, hii ni mtu Vs mtu.Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
maisha yanaenda kasi sana[emoji28][emoji28][emoji28] anafatilia kesi ya bintiye?
Hata iyo fidia ujitamkii tu mahakamani kua nataka bill10..lazima uithibitishie mahakama kua tukio husika limekuathiri kwa kiwango hicho cha kustahili kulipwa hayo mabilioni...na hata hivyo kwa kajala hiyo itakua ni kesi ya madai na madai yanadhamana na kuna mda wanaweza kuomba kulipa hiyo fidia...ila kwa ravyanny ni kosa la jinai..ni makosa mawili tofautiMimi nisiwe mnafiki siwezi kumsaidia hata lisaa rumande.
Hivi Rayvanny akisema brand yake imechafuka na anataka alipwe 1billion utalipa ww?Hebu acha unafiki dada yangu,Hamisa akisema yeye kwa kuchafuliwa kwake anataka alipwe mil 100 utalipa ww?Acha kuwa mnafiki.
Kwa hiyo Paula alivyo rudi nyumbani akiwa amelewa mama yake hakumwona au labda alichukulia kawaida inawezekana Paula ndio tabia yake kulewa.
Dada yangu kile kizimba kione vilevile ni kidogo lakini nikizito,hasa hasa ukikutana na mawakili wanaojua kujenga hoja.
Wasafi tv inarudi March hiyo adhabu ya miezi 6 imefutwa au mwenzetu unaishi bongo kweli? Kama Hili limekupita.Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
Sema watu wamelikomalia hili balaaa, na mm naona hata kajala aliamua kufanya vile ili kukwepa aibu kwa wanazengo but hata yy anajua kila kitu. Kilichobak muda huu n kiki tu, yani hilo tukio limeingizwa ki kiki zaidi. Ata harmo kwenda central inawezekana kaenda kwa mambo yake mengine tu but ili kiki iwe kiki kweli. Hawa wasanii washagundua watz wanapenda nn ndo mana wanatembea nasi mlemle. Imagine huu uzi ungekuwa ni wa kuomba michango kwa ajiri ya mayatima nadhani ungejitahid sana ungekuwa na reply 10 tu, watz bana😁Hata mimi kaka yani ile video impeleke mwamba miaka 30 kwa kipi yani...kwanza yule Dogo moto kaanza kupelekewa kitambo hafai hata kwa ndoa...Hamna mtoto pale babaake kashindwa wanataka tu kumpaisha kichwa moto bwana Raymond mwakifwambe
Kiki hii boss tushitukeni😁😁Harmonize kumbe Ni mpuuzi kiasi hichi anajifanya ana uchungu kuliko pfunk mwenyewe
Hiii situation ni balaa 😂😂😂 inachekesha sanaNdio watamtambua Baba mkwe maana kachachamaa kinoma
Hivi nikuulize swali AY na Mwana FA wamelipwa na Tigo zaidi ya 2bil kwa kazi zao moja kutumika na tigo,Hata iyo fidia ujitamkii tu mahakamani kua nataka bill10..lazima uithibitishie mahakama kua tukio husika limekuathiri kwa kiwango hicho cha kustahili kulipwa hayo mabilioni...na hata hivyo kwa kajala hiyo itakua ni kesi ya madai na madai yanadhamana na kuna mda wanaweza kuomba kulipa hiyo fidia...ila kwa ravyanny ni kosa la jinai..ni makosa mawili tofauti
Unapomuongelea Diamond unamuongelea JPM mwenyewe a.k.a ngosha au jiwe..... Waulize TCRA wakwambie kilichowapata baada ya Mond kumpigia simu Mzee , Mzee aliuliza Tu adhabu imeanza Lin , kilichofuata adhabu inaishia mwez huu....Wasafi TV hewaniNyuma ya Chui kuna Diamond unajua na Mond anaweza kupray part yakaisha Kidiplomasia au ikishindikana akamaliza kiundava.
Hujui uhusiano wa Diamond na jiwe weweWasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani