Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Mkuu kwani shitaka lishafunguliwa? Watu mnashauku utadhan tayari kesi imeshafunguliwa😆😆😆😆, saizi navokwambia rayvanny na majani wameyamaliza kibababaaa, na wanatoa song kesho na paula atakuwa queen video 🤣🤣🤣🤣Yatafurahisha zaidi kama Rayvan atapewa adhabu kali ili iwe fundisho kwa hawa wasanii uchwara wenzie wanaodhalilisha watu.