Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
ww nahisi hata vyombo vya habari hufatilii juzi tu wasafi wametoka kupunguziwa adhabu na tarehe 28 mwezi huu wanarudi hewaniWasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani