Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

PFunk ana wakati mgumu mno ,
mke anakojolewa hadharani, mtoto anakojolewa hadharani
 
Si hapa hapa kwenye comment
.
127793330_1814420665383111_3594204217781295134_n.jpeg
 
Vimeumana tayr mkuuu
Nilicho jifunza ni kwamba wengi ni maamuma wa sheria. Huyo vanny sijui nini hana hatia. Hana hatia kabisaa! Kwanini? Mosi, Huyo binti amezaliwa 2000 which means kwasasa ana umri wa miaka 20+. Amehitimu kidato cha nne. Kidato cha nne ndio mwisho Wa BASIC EDUCATION, yaani Elimu msingi. Binti wa miaka zaidi ya 18 ni ruksa kuolewa. Hayupo shule, yupo mtaani yaani hasomi. Uanzia wapi kumshitaki huyo Vanny? Fikirieni mara mbili.

Hata hao tcra hawana msingi Wa kisheria kumtia hatian vanny. Kifupi ni kwamba mtoto Wa mdangaji kaanza rasmi kudanga . FULLSTOP!!!
 
Wasafi tv imefungiwa miezi6 kwa kosa la gigi mpaka sasa ameplay undava upi...embu tuanzie hapo...katika hii nchi diamond ni mtu mdogo sasa yani watu wakiamua yao dk0 anarudi tandale..kuna mtu alikua anaitwa Lugumi alikua tajiri na nyumba kam 200 ivi..muulize sasahivi yuko wapi na anahali gani
tarehe 1 mwezi wa 3 wanarudi hewani.
 
Nilicho jifunza ni kwamba wengi ni maamuma wa sheria. Huyo vanny sijui nini hana hatia. Hana hatia kabisaa! Kwanini? Mosi, Huyo binti amezaliwa 2000 which means kwasasa ana umri wa miaka 20+. Amehitimu kidato cha nne. Kidato cha nne ndio mwisho Wa BASIC EDUCATION, yaani Elimu msingi. Binti wa miaka zaidi ya 18 ni ruksa kuolewa. Hayupo shule, yupo mtaani yaani hasomi. Uanzia wapi kumshitaki huyo Vanny? Fikirieni mara mbili.

Hata hao tcra hawana msingi Wa kisheria kumtia hatian vanny. Kifupi ni kwamba mtoto Wa mdangaji kaanza rasmi kudanga . FULLSTOP!!!
Acha vaany boy ale Raha ,Mmakonde akaze nati zilizolegea , mijitu mingi haijui sie tunaojua tupo upande wa mtu mbadi vanny boy to the last man....wapunguze Tu wivu kama walikosea kuchagua wake ndo imetoka hyo😀😀😀

Mimi ninaona kabisa aliyeandika sio kajala yule ni Chinga,maana post ya chinga na ya kajala inalingana kila kitu hafi herufi.
Na kilicho haribu zaidi Ni Kajala kumtuhumu uongo Mobetto.. aisee Kwa brand ya Mobeto na popularity yake hyo issue iki-back fire Mmakonde atajilaumu kukurupuka , ....kingine Paula ana nafas kubwa kwenye hili na kibaya Roho ya Paula ipo imetumzwa kwenye mtimanyongo wa Rayvanyy mtu mbadi , a.k.a chuiiiii.... Leo ni vanny boy yupo na mtoto wa P-Funk Aiiiiiii [emoji3][emoji3][emoji3]... Battle bado ipo in favour of WCB wasafiiiiiiii
View attachment 1703634
 
Acha vaany boy ale Raha ,Mmakonde akaze nati zilizolegea , mijitu mingi haijui sie tunaojua tupo upande wa mtu mbadi vanny boy to the last man....wapunguze Tu wivu kama walikosea kuchagua wake ndo imetoka hyo😀😀😀

View attachment 1703636
Aisee hii video nimeitazama cjui x10.., aiseee toto hili tamu jamn tuache masihara🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nilishamaliza ushauri wangu rayavanny amalize ili swali nje ya mahakama..hakuna jambo la hatari kama kubet mbele ya mahakama.kama rayvanny anayataka hayo mabilioni ya fidia mshauri aende...ila akumbuke maamuzi ya mahakama yanapigiwa kula na majaji na inategemea wameamkaje siku iyo..kula zisipotosha imekula kwake
Kwa hiyo anayebet ni Rayvanny? Ila Kajala habet? Si ndicho unacho maanisha.

Sizani kama kesi ya rayvanny itaamuliwa na jopo la majaji kwani bado haijafikia level hiyo,nina uhakika itaamuliwa na hakimu mmoja tu.
 
Shabiki kindaki ndaki wa Vannyboi[emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom