EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Mababa wa kambo nuksi hawanaga masikhara na watoto wao wa kike.Hivi hamnaga sheria inayoweza kumshtaki mtu kwa kutembea na mtu aliyemzidi umri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi pia nashagaa jamiii gani hiyo inayoongelewa? Mbona sie hatujachukia kabisa....ingekua hatukutegemea hayo kutokea kweli...[emoji3]Nan kakwambia kuwa sisi JAMII tumekasirika!!? Sisi tunafuatilia songombingo kwa umakini kabisa bila kupepesa macho maana tulikuwa tunaambiwa tu life la kajala enzi hizo sasa hapa tumetulia kucheki hii part two na bahati nzuri sterling wetu ni mtoto wa sterling wa kwenye part one
Mwendo wa kutibuanaTumkamatie kulekule polisi, atwambie zile bakabaka alizitoa wapi? Au ndo anazozitumia katika uhalifu🤣🤣🤣🤣🤣
Ujinga huu umeandika hata Amazon College ni wanafunzi na wanaingia darasani unakuwa na Thinking ya hovyo kama umekatwa kichwa.Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.
Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
Kichwa chako kimejaa mafuta ya alizeti.Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.
Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
Kwamba yeye anauchungu kuliko pfunk??Ana uchungu na mwanae!
Tatizo ubongo wako mdogo,Ujinga huu umeandika hata Amazon College ni wanafunzi na wanaingia darasani unakuwa na Thinking ya hovyo kama umekatwa kichwa.
Kazi ni kwakoyajayo yanafurahisha.Vodacom!
Ngoja yakutokee kwa mwanao au ndugu yako ndo uwaze upimbi wako huu.Kichwa chako kimejaa mafuta ya alizeti.
Mlisema Kiba kapotea, Kiba iviKUNA MSEMO DAR WATU WANASEMA KUWA WAMAKONDE SIO WATU NA NI MALIMBUKENI WAKUBWA.
HUYO KIMZIKI KESHAPOTEZA DIRA ANABAKI KUFUATILIA MAMBO YASIYO NA TIJA KWENYE CARRIER YAKE
Kwamba yeye anauchungu kuliko pfunk??
Mingine ilikuwa inatongoza kabisa DMhalafu kuna mipuuzi hapa inasema paula mwanafunzi utafikiri hawajawahi tembea kwenye account yake ya insta!!!
Acha kuyachafua mafuta ya alizeti hayawezi kukaa kwenye hicho kichwa, ebu yatake radhuKichwa chako kimejaa mafuta ya alizeti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binti yake atiiiiMasikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo.
Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake.
Picha zinakujaView attachment 1703479View attachment 1703480
KUDUNDA ANADUNDA ILA KIMUZIKI ANAZIDIWA MBALI SANA HATA NA MARIOO, LIMEBAKI JINAMlisema Kiba kapotea, Kiba ivi
Kiba mpaka leo anadunda.
Kama ni kweli, basi huyu mzee wa chitohori dishi limeshaanza kuyumba
Kwamba na Konde afunguliwe kesi.Kama ndio hivyo kesi zingekuwa nyingi,maanake hata Konde jana kampost Rayvany instagram.
Kesi ya uchochezi na ya kumfunga mota KajalaKwamba na Konde afunguliwe kesi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂