Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

TCRA inakabiri kesi za aina Gani?
Elimu haijanisaidia kupata hela ila imenitoa upumbavu wa kukurupuka na kuendeshwa na hisia bila facts. Harmonise anakurupuka kesi ipo TCRA ila si hicho anachokifikiri
 
Yeye na huyu hawara yake wote wanafiki wangekuwa na uchungu wangekatiza ziara yao siku Ile Ile wangerudi kuonyesha kimewauma
Tupo na Mobeto hapa tunampanga , haiwezekani brand yake iharibiwe kiboya boya, tunahitaji one billion cash kama refund ya kuchafua mtandaoni ....Kajala na kondeboy wajipange
 
Na kilicho haribu zaidi Ni Kajala kumtuhumu uongo Mobetto.. aisee Kwa brand ya Mobeto na popularity yake hyo issue iki-back fire Mmakonde atajilaumu kukurupuka , ....kingine Paula ana nafas kubwa kwenye hili na kibaya Roho ya Paula ipo imetumzwa kwenye mtimanyongo wa Rayvanyy mtu mbadi , a.k.a chuiiiii.... Leo ni vanny boy yupo na mtoto wa P-Funk Aiiiiiii 😀😀😀... Battle bado ipo in favour of WCB wasafiiiiiiii
View attachment 1703634
Hapo inaonesha kabisa mtoto anaemuelewa mwana Tena anarecord kabisa alafu Kuna lijitu linasema eti huyo binti anadhalilishwa
 
Tupo na Mobeto hapa tunampanga , haiwezekani brand yake iharibiwe kiboya boya, tunahitaji one billion cash kama refund ya kuchafua mtandaoni ....Kajala na kondeboy wajipange
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe khaaaaaah
 
Miaka 30 kwa sheria za nchi gani? kwani kambaka? hoja ya mwanafunzi haina mashiko, Paula hayupo kwenye mfumo rasmi wa elimu tangu 2019, private candidate aweza hata kuwa mama mwenye 50, unaeza mshitaki bwana wa private candidate mwenye 50 kwa kutembea na mwanafunzi?
Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.

Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
 
Umeisoma vizuri sheria ya makosa ya kimtandao mkuu...kuposti picha ya mtu bila idhini ya muhusika tayari ni kosa na linastahili adhabu
Muhusika ni Harmonize au Kajala? kama ni Paula unauhakika hakuridhia? unayajuaje mambo yao ya chumban? kosa liko wapi mtu kuamua kumpost mpenz wake?
 
Back
Top Bottom