MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Miaka 30 kwa sheria za nchi gani? kwani kambaka? hoja ya mwanafunzi haina mashiko, Paula hayupo kwenye mfumo rasmi wa elimu tangu 2019, private candidate aweza hata kuwa mama mwenye 50, unaeza mshitaki bwana wa private candidate mwenye 50 kwa kutembea na mwanafunzi?Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo.
Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake.
Picha zinakuja
yajayo yanafurahisha.Vodacom!
Na kama sifaham vizur sheria mnisahihishe ni kama katiba inasema mwanamke anaeanzia 15yrs yupo fresh kwa kuolewaMiaka 30 kwa sheria za nchi gani? kwani kambaka? hoja ya mwanafunzi haina mashiko, Paula hayupo kwenye mfumo rasmi wa elimu tangu 2019, private candidate aweza hata kuwa mama mwenye 50, unaeza mshitaki bwana wa private candidate mwenye 50 kwa kutembea na mwanafunzi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] anafatilia kesi ya bintiye?
Ashakuwa binti yake tayari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3]
Baba lazima ajali wanae. Acha chinga afatilie issue ya binti yakeKweli huyu Chinga mkuda daadeki.
Kama hayupo schoolNa kama sifaham vizur sheria mnisahihishe ni kama katiba inasema mwanamke anaeanzia 15yrs yupo fresh kwa kuolewa
Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo.
Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake.
Picha zinakujaView attachment 1703479View attachment 1703480
Kama hayupo school