Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Chui πŸ†πŸ†πŸ†πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Vijana wengi wazembe,
wengi waongo,
chumbani butuuuu,
Wazeee wa mndende,
mara mkongo, alkasusuu,
Zamani si ndo majembeeeeeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hii nyimbo ya chui naikubali sanaaaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Vijana wengi wazembe,
wengi waongo,
chumbani butuuuu,
Wazeee wa mndende,
mara mkongo, alkasusuu,
Zamani si ndo majembeeeeeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hii nyimbo ya chui naikubali sanaaaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Chui mnyama mmbayaaaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unapomuongelea Diamond unamuongelea JPM mwenyewe a.k.a ngosha au jiwe..... Waulize TCRA wakwambie kilichowapata baada ya Mond kumpigia simu Mzee , Mzee aliuliza Tu adhabu imeanza Lin , kilichofuata adhabu inaishia mwez huu....Wasafi TV hewani
Sio poa
 
Huyo Paula ana miaka mingapi?
 
Nnaposema mtoto ana miaka mingapi saizi? Kama amefikisha 18 kisheria ni mtu mzma. Afu shida gani IPO hapo kupigana busu ndo iwe shida?
Kwenye hii video inayo trend kosa la vannyboy itakua kama huyo mtoto ni chini ya miaka 18 au kama ni mwanafunzi.Suala la umri kwenye mapenzi halina nafasi, mbona mwanaume wa miaka 30 anaoa mwanamke wa miaka 19
 
Hivi hapo udhalilishaji ni UPI? Hivi kuna video nyingine zaidi ya hii wanapigana busu na mwanamke mwenyewe anamwita baba?
Huyo wa miaka 20 mnasema ni mtoto ni utoto wa namna gani maana hata kisheria haupo.
Au labda kama ni mwanafunzi inaweza ikawa kesi kua kwenye mahusiano na mwanafunzi.
Mtoto kisheria haruhusiwi kua na account ya histagram, maana ili uwe na simu kisheria lazima utimize miaka 18, utoto wa huyo ni UPI?
Au watu mnawivu tu na penzi la vany boy
 
Kwanza sheria ya ndoa inasema mwanamke anaolewa akiwa kuanzia miaka 14
 
Huyo Harmonize naona amekurupuka, ametafuta public sentiment tu lakini. Kupiga busu na mpenzi ndo iwe udhalilishaji? Public sentiment ameitafuta lakini sidhani kama sheria ya udhalilishaji itamhukumu vanyboy, labda issue ya mwanafunzi hapo ndo sujui status ya huyo dogo ka ni mwanafunzi au la.
Kama ni udhalilishaji ni udhalilishaji wa namna gani, wa kingono hapana, au kwamba vany hana hadhi ya kua kwenye mahusiano na Paula,
Konde akubalia tu kua baba mkwe wa kambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…