Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Vijana wengi wazembe,Chui 🐆🐆🐆🔥🔥🔥🔥
wengi waongo,
chumbani butuuuu,
Wazeee wa mndende,
mara mkongo, alkasusuu,
Zamani si ndo majembeeeee😆😆😆😆 hii nyimbo ya chui naikubali sanaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wengi wazembe,Chui 🐆🐆🐆🔥🔥🔥🔥
Chui mnyama mmbayaaaa 😀😀😀😀Vijana wengi wazembe,
wengi waongo,
chumbani butuuuu,
Wazeee wa mndende,
mara mkongo, alkasusuu,
Zamani si ndo majembeeeee😆😆😆😆 hii nyimbo ya chui naikubali sanaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kawaida tyuuh mbna. Hakuna hata tatizo.Sasa kirahc hivo jaman[emoji848][emoji848][emoji848] mjomba nchumari atakuwa anajisikiaje???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeona kwa Millard Ayo mie, ni kweli wameachiwa huru.Mimi nimeona post kutoka kwa Baba Levo kesi ishaisha wamemalizana.Ila ngoja tusubirie kutoka kwao wenyewe wahusika.
Naomba hiyo video niicheki..Ile video hakika inakera sana jamaa alipeleka mzigo wote ghafla dah hatari sana
Kaliresiti paper mzeeSasa yule demu uanafunzi wake uko wapi wakati hajapata credit za kwenda advance na mama yake keshaonesha njia ya kudanga na kutolea wanaume mijicho
Video unayo tutumie jombiIle video hakika inakera sana jamaa alipeleka mzigo wote ghafla dah hatari sana
Sio poaUnapomuongelea Diamond unamuongelea JPM mwenyewe a.k.a ngosha au jiwe..... Waulize TCRA wakwambie kilichowapata baada ya Mond kumpigia simu Mzee , Mzee aliuliza Tu adhabu imeanza Lin , kilichofuata adhabu inaishia mwez huu....Wasafi TV hewani
Huyo Paula ana miaka mingapi?Unasikia mkuu, ipo hivi.
Kwa nini paula tunasem ni mwanafunzi,
Moja umri wake bado mdogo, pili yupo chini ya mzazi/wazazi.
Tunasema ni mtoto ambaye amerubuniwa na kuharibiwa future yake.
Bora angekua amemaliza au private candidate wa kidato cha 6. Huyu paula alikua bado in between secondar School it means bado mtoto sana huyo, na kuna uwezekano yeye Rayvany ndo kamfelisha mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
[emoji16][emoji16]
Nnaposema mtoto ana miaka mingapi saizi? Kama amefikisha 18 kisheria ni mtu mzma. Afu shida gani IPO hapo kupigana busu ndo iwe shida?Ok sawa nimekuelewa.!
Kwa hoja zako inawezekana jamaa asiwe na kesi ya kujibia au kisheria yupo free.
Lakini twende mbele kitamaduni na maadili, haipendezi kwa rayvan kwa umri wake kutembea na msichana mdogo vile, lkn pia kitendo cha kurusha hizo clip haijakaa vema hata kama mama amemkosea katika malezi.
Msanii si ndo kioo cha jamii!??
Nimeona Kajala akimlaumu mobeto kwa kitendo cha kumchukua mwanae kwa kumdanganya anamtoa out kumbe anaenda kumkutanisha na huyo jamaa. Naamin mzazi lazima aumie ni udhalilishaji ni bora ikawa soro lkn sio ku publize.!
Maandiko yanasema, usichopenda kufanyiwa usikifany kwa mwenzako.
Huyo msanii kafanya hivyo, asishangae na mwanae anakuja kufanyiwa vitendo the same.!
Wivu Tu unawasumbua Kwa vannboy
Nami nasubiri kwa hamu ilo anguko ili nione nyie Team Kiba mtafanya nini kipya..Hili ndio anguko LA wcb kwa hakika
Tamko la muhusika (Paula) hili hapa. View attachment 1704128
Hivi hapo udhalilishaji ni UPI? Hivi kuna video nyingine zaidi ya hii wanapigana busu na mwanamke mwenyewe anamwita baba?Wanazengo wamepiga kambi mtandaoni kumtetea Rayvanny.
Rayvanny kamdhalilisha Paula mtandaoni.
WCB hawanabudi kujitenge na Rayvanny, imkane ili kusave brand yao isizame kwa kashfa ya ufuska na udhalilishaji.
Kitendo cha WCB kunyamazia hii issue inaonyesha wanakubaliana na Rayvanny na udhalilishaji alioufanya Rayvanny.
Nnaposema mtoto ana miaka mingapi saizi? Kama amefikisha 18 kisheria ni mtu mzma. Afu shida gani IPO hapo kupigana busu ndo iwe shida?
Kwenye hii video inayo trend kosa la vannyboy itakua kama huyo mtoto ni chini ya miaka 18 au kama ni mwanafunzi.Suala la umri kwenye mapenzi halina nafasi, mbona mwanaume wa miaka 30 anaoa mwanamke wa miaka 19
Hao baba levo, H baba, etc machawa pro max wote wamejitokeza na kwa hili wanasema wanazungumza kama wazazi - wenye watoto wa kike...
OG.FAKE