Unga umeshuka mkuu..nusu 400Karibuni ugari kabichi wakuu bajeti yangu mpaka msosi umeiva ni buku 2 tu
Unga nusu -500
Kabichi -300
Nyanya 2-200
Mafuta ya kula -200
Kitunguu cha -100
Mkaa wa -500
Na maji ya-200(Kandoro)
Karibuni sana wakuuu.
Huku kwetu Dom hapa kwa mangi wanauza unga nusu jero mkuuUnga umeshuka mkuu..nusu 400
Ule msemo ulokuwa umezoeleka kwamba laki so pesa, naona hakuna maana yake tena, ukitaka kujua laki ni pesa jua kwamba kwenye laki kuna 10,000 Mara kumi, je kwa sasa unayo hata 10,000 moja?
Wanao comment hapa wengi hawana watajitutumua tu kwamba wanayo Ila ukiwakagua hoi bin Taaban
NARUDIA LAKI NI PESA
Poleni sana mkuuHuku kwetu Dom hapa kwa mangi wanauza unga nusu jero mkuu
Laki ni pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwel naona nguvu ya bukuWALIOKUWA WANASEMA LAKI SI PESA SASA WANAIONA MGUVU YA BUKU KWENYE 3MZUKA/ BIKO