Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,437
- 1,883
Ule msemo ulokuwa umezoeleka kwamba laki so pesa, naona hakuna maana yake tena, ukitaka kujua laki ni pesa jua kwamba kwenye laki kuna 10,000 Mara kumi, je kwa sasa unayo hata 10,000 moja?
Wanao comment hapa wengi hawana watajitutumua tu kwamba wanayo Ila ukiwakagua hoi bin Taaban
NARUDIA LAKI NI PESA
Wanao comment hapa wengi hawana watajitutumua tu kwamba wanayo Ila ukiwakagua hoi bin Taaban
NARUDIA LAKI NI PESA