Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

Nayo sio mbaya

Mwenzio mwaka mpya nataka kuagiza gari mpya, but be4 this, hii miezi miwili iliyobaki nataka nikae na rafiki yangu pale NIT, anipige brush kuhusu kifaa cha gari kikiharibika, huu mtumba mpya ukiingia bongo nakuwa expert sikanyagi kwa fundi tena, zaidi ya kufungua nut na kupachika kifaa kipya
Mambo baby wit.
Ulifanikiwa kununua gari mpya?
Ulivuta gari gani mrembo. Sorry
 
Back
Top Bottom