Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
hata gari yangu inatumia hio hioUmepatia mwana hii TYPE IV ndio recommended kwany user manual ya Toyota IST na hao wengine wanaoutumia injini inayo fanana na IST
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata gari yangu inatumia hio hioUmepatia mwana hii TYPE IV ndio recommended kwany user manual ya Toyota IST na hao wengine wanaoutumia injini inayo fanana na IST
Ndio yenyewe hii recommended by manufucturer sema jamaa kauziwa efu 60 toyota wanauza laki na 20 au ndio inategemea umenunua wapihata gari yangu inatumia hio hio
bongo mzeebaba, unaweza ukauziwa dumu la Toyota oil ya kupima😂😂😂Ndio yenyewe hii recommended by manufucturer sema jamaa kauziwa efu 60 toyota wanauza laki na 20 au ndio inategemea umenunua wapi
Dah [emoji1487][emoji1487][emoji23] hatariEeh hii sindio
bongo mzeebaba, unaweza ukauziwa dumu la Toyota oil ya kupima[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe bei yake halisi ni 120,000?Eeh hii sindio
bongo mzeebaba, unaweza ukauziwa dumu la Toyota oil ya kupima😂😂😂
Ila bei ya hiyo oil mbona kama ameuziwa bei rahisi sana..[emoji848][emoji848]Umepatia mwana hii TYPE IV ndio recommended kwany user manual ya Toyota IST na hao wengine wanaoutumia injini inayo fanana na IST
Nimesema juu huko tayariIla bei ya hiyo oil mbona kama ameuziwa bei rahisi sana..[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawa....Part ikishakuwa genuine haijalishi aina ya gari...inakuwa na bei iliyochangamka...Nimesema juu huko tayari
Naona Chura unammiliki mnyama mwenyewe Biemu
Sema gearbox ukichakachua vimiminika majibu yanakuja fasta sana gear box hainaga hii toyota sijui hii audi huwa fasta tu inadanjaOoh sawa....Part ikishakuwa genuine haijalishi aina ya gari...inakuwa na bei iliyochangamka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukupaswa kufanya kwa pamoja hivyo vyote, si lazimaJuzi fundi aliniuliza mara ya mwisho kufanya service gari langu. Nikamwambia mie tangu niagize nikaanza kutembea nayo sijawahi kufanya intensive service mpaka ipate tatizo ndio naileta kwako.
Akashangaa sana. Akasema kawaida unaponunua gari either kwa mtu au kutoka nje, kabla hujaanza kuzurura nalo lifanyie service kwanza. Bila kujali aliyekuaa nalo alifanyia service lini. Labda hiyo gari iwe brand new.
Basi nikamwambia kesho (ambayo ishakua jana) nitaileta tuifanyie service. Kesho yake mapema tu nikatoa gari nje, nikafungua boneti, cheki oil na maji kwenye rejeta. Maji nikaongeza kidogo.
Nikatimba kwa fundi wangu mzuri pale Sinza Palestina. Tukaanza kazi. Uzuri step zote nilikuepo. Fundi ana vijana wake wawili. Namie nikawa pemben nawapiga tafu.
Wanafungua hiki, wananiambia kazi yake na kama kiko sawa wanasema kiko sawa. Wanafungua kile, kama hakiko sawa wanasema boss inabidi tubadilishe hiki, kimeisha sana.
Anyway, jioni nakuja kupewa mchanganuo wa gharama aisee nikasema "Bhagoshaaaaa mweeeee".
Ukiona mtu anaendesha gari kali barabarani kila siku mwamkie " shikamoo". Kumiliki gari inabidi ujipange aisee. Unakuta kampira au kachuma kadogo tu kanauzwa 65,000/=. Au kale kamkanda ka kwenye Steering wheel kana bei kubwa hadi nikashangaa!
Mchanganuo wake:
Vifaa, Fluids = 405,000
Ufundi = 100,000
Tip = 0
Jumla = 505,000
Fundi alisema gharama za vifaa hatuwezi ku-negotiate maana tumevinunua namie nikiwa nashuhudia. Gharama za Ufundi ndio tunaweza ongea.
Hata hivo kutokana na nilivokua nawaona vijana wakizama chini ya uvungu wa gari, wanamwagikiwa na oil, wanachafuka kinoma, wanafungua nati zingine zimekazwa kinoma, sikuona haja ya kugalaliza hela ya Ufundi.
Labda tu, safari hii sijampa fundi ile "Tip" ambayo nishagamzoesha.
ADDITIVE POINT:
Kitendo cha mie kuwasaidia mafundi wakati wanafanya service ya babywoka yangu imenifanya nijifunze vitu vingi sana kuhusu gari. Yaani hapa nilipo naweza kufungua boneti nikakuelezea kazi ya kila kidude, kila waya, kila pipe, kila chuma.
Matatito mengine madogo madogo nitakua nayamaliza mwenyewe home. Uzuri Toolbox ninayo.
Sio unakua kama Extrovert hata Fog Light ikiungua lazima aende garage pale Majengo Moshi.
Yaani mtu kama mng'ato anamiliki gari kali, lakin yeye anachojua ni kuwasha na kuondoka tu. Hata ukimuuliza hivi ukipiga honi ikawa hailii hatua ya kwanza utafanyeje, hajui!!!
View attachment 1578413
Mbona interior mbaya hivyo? Au kisa ina hiyo nembo bmw?[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1578559
Ulisema kweli aisee. Jana tumenunua Oil Seal nyingine kwa 25,000. Wala sijataka kumuuliza fundi kwa nini siku ile tulinunua 35,000.2. Oil Seal wamelamba 10K inauzwa
25K
3.Engine oil lazima wamekuwekea 20W 50 maana ndio cheap ni 35K wamelamba 10K
Hahahah umeamini sasa bwana mdogo. Hio bearing sijawahi badili ila yangu pia imeshaanza kelele baada ya mamvua mvua inabidi nikaibadilishe ila umenipa mwangaza walau nitajua jinsi ya kuwaingia mafundi. Naimani haitazidi 20KMREJESHO:
Jana nilienda kwa fundi wangu kunyoosha Oil Sample niligonga jiwe ikabonyea. Nimegundua ni kweli siku ile ya kwanza nilipigwa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1623465
Ulisema kweli aisee. Jana tumenunua Oil Seal nyingine kwa 25,000. Wala sijataka kumuuliza fundi kwa nini siku ile tulinunua 35,000.
Nimeamini maneno yako bro. Baada ya kunyoosha Oil Sample ikabidi tuongeze Oil kama litre mbili hivi @5000 per litre. Nimekuta washaweka oil, nilienda kula. Nimepiga picha ya dumu. Fundi nimemuuliza anasema hii Oil inafaa kwa gari zote za diesel na petrol. Ni kweli?
View attachment 1623466
Mwisho tulinunua Bearing moja (inayozungusha fan belt) ilikua imeisha halafu inapiga kelele. Nimetoa 25,000 sijui na penyewe nimepigwa maana ndio mara ya kwanza.
View attachment 1623470
Mwamba vipi oil ya injini ya diesel hyo au gari yako ya dieselMREJESHO:

Awali ya yote nikupe pole kwa kupigwa...ila ndiyo maisha na ndiyo kujifunza...MREJESHO:
Jana nilienda kwa fundi wangu kunyoosha Oil Sample niligonga jiwe ikabonyea. Nimegundua ni kweli siku ile ya kwanza nilipigwa kipigo cha mbwa koko.
View attachment 1623465
Ulisema kweli aisee. Jana tumenunua Oil Seal nyingine kwa 25,000. Wala sijataka kumuuliza fundi kwa nini siku ile tulinunua 35,000.
Nimeamini maneno yako bro. Baada ya kunyoosha Oil Sample ikabidi tuongeze Oil kama litre mbili hivi @5000 per litre. Nimekuta washaweka oil, nilienda kula. Nimepiga picha ya dumu. Fundi nimemuuliza anasema hii Oil inafaa kwa gari zote za diesel na petrol. Ni kweli?
View attachment 1623466
Mwisho tulinunua Bearing moja (inayozungusha fan belt) ilikua imeisha halafu inapiga kelele. Nimetoa 25,000 sijui na penyewe nimepigwa maana ndio mara ya kwanza.
View attachment 1623470
Hivi 10W 30 total wanayoAwali ya yote nikupe pole kwa kupigwa...ila ndiyo maisha na ndiyo kujifunza...
Hiyo oil usiweke kwenye gari lako....Ni nzito sana na isitoshe ni recommended kwa diesel engine
Nunua 5w30 ya Total lita 4 ni kati ya 50k mpka 55k. Ni miongoni mwa oil nzuri ambazo bei yake ni ya wastani, siyo ghali wala siyo rahisi..
Ukiweka kama hii ninayotumia mimi ni nzuri zaidi...Total quartz..View attachment 1623605
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuona mara mija ila ni muda sanaHivi 10W 30 total wanayo
Break BARD ndio sijaielewaMkuu hapo kwenye Riber charge ndio nini?[emoji1787]
Garage za chini ya muembe hizo. Halafu hiyo gari ulishatumia sana mpk ma mounting hayo unabadili basi ushapiga nayo mzigo sana.