Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

Hamna anayependa kuendesha kibunju ila ni bunda tu ndio tatizo.
Kweli mzee maana hata gari inayonivutia hapo sijawahi kuiona nchi hii.
Hali ya maisha inafanya watanzania wachache tu ndio waweze kuendesha aina mojawapo ya magari haya mazuri.
Na hat! Hizi subaru,ist n.k ni gari nzuri tu lakini si za kipekee, kwa maana kwenye foleni moja yenye gari 20 kutakuwa na gari aina tatu tu au nne zinazofanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ