Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

Sema Mjerumani na Muingereza wanatoa vyuma vikali sana aisee. Ukiangalia Audi, BMW, Rolls Royce, Bentley na Land Rover zote ni makampuni yao.
 
Asee, kumbe toyota ana luxury kali iv, hyo Century ndo nmeijua leo asee

Mtoa mada umetisha, em niangalizien bei ya M5 Bmw walau nijage nikaemo umo😄
 
Asee, kumbe toyota ana luxury kali iv, hyo Century ndo nmeijua leo asee

Mtoa mada umetisha, em niangalizien bei ya M5 Bmw walau nijage nikaemo umo😄
Kaka toyota kuna vipengele kanyoosha vibaya sana. Luxury za maana
 
Back
Top Bottom