Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

Kweli hiyo ni ndoto hivi hata wilaya unayoishi tuu kuna mtu anayo au ndio utakua wakwanza kuvuta hiyo chuma ya Mmarekani
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua na kama unaishi bila ndoto hauwezi kuwa na maendeleo.
 
Mimi Gari lipo ila sasa πŸ˜…πŸ˜…
Kama gari ni lako, wala sura haimatiii..!!! Sura personal kwenye gari personal haigombi..!!! Ishu ni pale gari ni la mkaka/mbaba ambaye anataka kuwaringishia wengine sura yako..!!! hapo sasa ndani NTITI, nje NTITI..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…