realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Imeisha hiyoKwa hiyo mtanange wa nani akae mbele kati ya mama na wife ndo umeisha hivi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hiyoKwa hiyo mtanange wa nani akae mbele kati ya mama na wife ndo umeisha hivi?!
Kweli hiyo ni ndoto hivi hata wilaya unayoishi tuu kuna mtu anayo au ndio utakua wakwanza kuvuta hiyo chuma ya MmarekaniNina ndoto za kumiliki dodge Durango
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua na kama unaishi bila ndoto hauwezi kuwa na maendeleo.Kweli hiyo ni ndoto hivi hata wilaya unayoishi tuu kuna mtu anayo au ndio utakua wakwanza kuvuta hiyo chuma ya Mmarekani
😀😀😀msinune wenzenu tunawachekeshagaSina kudeka tu 😜😜😜
Kwa kumbukumbu zangu walishukaHivi hawa wanashiriki kweli ligi kuu au walishuka daraja 😊🤭😅
Kama gari ni lako, wala sura haimatiii..!!! Sura personal kwenye gari personal haigombi..!!! Ishu ni pale gari ni la mkaka/mbaba ambaye anataka kuwaringishia wengine sura yako..!!! hapo sasa ndani NTITI, nje NTITI..!!Mimi Gari lipo ila sasa 😅😅
Sasa wanywe sana Chai ili wapandeKwa kumbukumbu zangu walishuka
Sukari wanayo, tatizo majani hawana..!! labda walambe sukari guru.Sasa wanywe sana Chai ili wapande