Aisee kuna wanaume wavivu

@Dejane alisema hapa jana(kama sijasahau) inatakiwa tupige kamoja ambacho ni sawa na viwili.

NB: Tendo la kunyanduana ni sawa na mchezo wa drafti, kila upande inabidi uwe tayari kwa mashambulizi ili mchezo unoge
 
Lishe duni

Mtu anatwanga mapombe hali vyakula bora unategemea nini

Mazoezi hawafanyi ukizingatia anaenda kazini amekaa kwa gari akifika ofisini anakaa kurudi home anapitia bar anatwanga bia anarudi analala hizo nguvu atatoa wapi
 
Tatizo nguvu kidogoo
Ukija Kwa Babu utampenda Tena Kuna mawili ana shida ya ugonjwa wa azinaa suguu Sasa zile bacteria zimeshaadhiri sehemu ya kuperform,so anakuwa anachoka na hawezi perform sanaa maana bacteria Ina kula tu maji nakutengeneza fungus naa lazima ukisha sex naye lazimautajisikia vibaya huenjoy mtu mwenye afya after sex unafeel good.

Kingine ni kutokuwa tu na nguvu nani asili Yao au yake Huwa mlegevu na kumpatisha mtu mimba nayo ni kazi, ingine umri huchangia mtu kuwa mvivu haya yote Babu anatibu vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…