Aisee kuna wanaume wavivu

@Dejane alisema hapa jana(kama sijasahau) inatakiwa tupige kamoja ambacho ni sawa na viwili.

NB: Tendo la kunyanduana ni sawa na mchezo wa drafti, kila upande inabidi uwe tayari kwa mashambulizi ili mchezo unoge
Sasa umekojoa umelala fofofo kwa uchovu nini kitafanyika zaidi ya kukuwinda tena ukiamka??
 
Sikutukani lakini nasema hitilafu unayo wewe. Hujui kum-treat vizuri. Wewe unakubalije afanye haraka hivyo kama kijogoo. Yaani umejiandaa week nzima halafu mnakutana unaanza kulala kama mende? Serious?

Hata ma-romance ya kufa mtu mpaka ulowe chapachapa hakuna? Mimi nilidhani mechi ya debry kama hiyo kuingiza mtarimbo inakuwa ni stage ya mwisho na fupi sana kwani mambo mengi mnakuwa mmeshamaliza kabla na wewe hata kilele cha mlima umeshakwea mara tatu.
 
.......lakini nyinyi si mnasemaga hapa staili tofauti na hiyo huwa zinaonekana kama ni za kumdhalilisha mwanamke......na pia wengine wanadai kuumia wakati wa tukio......and above all hiyo staili ndo naturally recommended by God.....
 
Lishe duni

Mtu anatwanga mapombe hali vyakula bora unategemea nini

Mazoezi hawafanyi ukizingati anaenda kazini amekaa kwa gari akifika ofisini anakaa kurudihoe anapitia bar anatwanga bia anarudi analala hizo nguvu atatoa wapi
Nguvu zinataka mzunguko mzuri wa damu. Sasa wengi wetu hasa tunaoishi mijini chakula kikubwa ni sukari na mafuta tena yale poor quality.

Matokeo tunajaza mioyo mafuta hadi mishipa inakuwa clogged. Hamna tena free movement ya damu kwenda kwenye mishipa midogo ya uume inakuwa mashine haijai damu ndio ishu ya ulegevu inaanzia.

Mazoezi ni muhimu sana ila pia diet nzuri sema sasa wengi ndio unakuta unakula kilichopo sio utakacho sababu uchumi mmbovu. Unafanya mazoezi ila kama kutwanga maji kwenye kinu tu.
 
acha kuendekeza wanaume wala chipsi na vitumbua
 
.......lakini nyinyi si mnasemaga hapa staili tofauti na hiyo huwa zinaonekana kama ni za kumdhalilisha mwanamke......na pia wengine wanadai kuumia wakati wa tukio......and above all hiyo staili ndo naturally recommended by God.....
Aaah wapii
Garagazaaa uwezavyoo
Kunja uwezavyo
Nikitoka hapo nakuona kidume na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…