Aisee kuna wanaume wavivu

Aisee kuna wanaume wavivu

Kuna Dogo hapa ananisimulia mambo anayokutana nayo akipeleka maziwa kwenye nyumba za watu.

Kuna huyo mdada kaolewa na jamaa ana hela zake za kuvimba town mdogo mdogo.
Demu anasema jamaa ni mzee wa kimoko, akimaliza anahema kama "nguruwe".

Wakuu tupigine zoezi, tule vizuri pia.
 
Waungwana salama,

Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Hujakosea hata kidogo ni wavivu kweli kweli.... Wengi wao wamelegea kama Kama urojo wa juzi...

Ukiona mtu anatukana au anabisha ujue jiwe limegonga penyewe.
 
Hahah huwa unanifurahisha tu harakati zako
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‹
Kuna Dogo hapa ananisimulia mambo anayokutana nayo akipeleka maziwa kwenye nyumba za watu.

Kuna huyo mdada kaolewa na jamaa ana hela zake za kuvimba town mdogo mdogo.
Demu anasema jamaa ni mzee wa kimoko, akimaliza anahema kama "nguruwe".

Wakuu tupigine zoezi, tule vizuri pia.
Yani wewe ndo umejua ninachomaanisha
 
Kuna Mchango Nikisoma humu huwa naukumbuka nacheka, Kijana alisema akafika kwa mamsapu wake Akiwa so High, Stimu Zimelipiwa, Anajiona yaani ye ndio John Cena WWE KING you can't see him, his time was then.....

Fanya Romance pale mnara ukasoma 5G akaingiza Mtarimbo akapiga tacle zake kwa Uchu shwaa shwaa shwaaa tako 5 tu Mabeberu hawa hapa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Akaona hii Aibu ya Mwaka akajilalamisha cha kwanza kinawahi kisamehewe tu....

Cha pili tena tacle hata 20 hazikufika Mabeberu wana hasira dhidi ya Mwafika ma mali zake hawa hapa tena wamefika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Turudi kwa Mada, Kaa na Bwana Bao moja myaongee kwanini inakua hivyo, nini Kifanyike kuboresha... Kama Ni Kuzoeana sana basi Tafuteni njia na mbinu mpya za kuweza kuyakabili hayo. Inasaidia sana kuyaongea kwa pamoja kwa uwazi.
 
Nakadori ni mzabzab wa kike wanarandana mno, waoane tu! au kama hawatak ndoa wapeane tuu waje watupe mrejesho hapa

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
πŸ˜…πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
Dah me kweli ndo wakufananishwa na mzabzab jaman hahaha kweli mmenichokaa
 
Back
Top Bottom