Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Ndani ya nusu saa tu uzi huu upo zaidi ya comment 150!
Kiasi gani tupo active kwenye hizi ishu!
Any way type ya shuguli zetu kila siku huwa zinatoa hatima yetu kwenye baadhi mambo likiwemo hilo.
I like may job kwa sababu karibu masaa 10 mpaka 13 kila siku ni mpera mpera! Sidhani kama kuna mwanamke anae weza kunitoa jasho .
Muhimu mazoezi.