Aisee kuna wanaume wavivu

Aisee kuna wanaume wavivu

Ndani ya nusu saa tu uzi huu upo zaidi ya comment 150!
Kiasi gani tupo active kwenye hizi ishu!

Any way type ya shuguli zetu kila siku huwa zinatoa hatima yetu kwenye baadhi mambo likiwemo hilo.

I like may job kwa sababu karibu masaa 10 mpaka 13 kila siku ni mpera mpera! Sidhani kama kuna mwanamke anae weza kunitoa jasho .

Muhimu mazoezi.
 
Nguvu za kiume ni illusion hilo tatizo halipo na halitambuliwi ki science uzima wa mwanaume ni kusimamisha kama inasimama vizuri basi tatizo lipo kwenye mind ya muhusika tatizo wanaume tuna mambo mengi mimi kipindi nimemaliza chuo kuna demu nilikuwa nae ufanisi ulikuwa umepungua sana lakini yote ilikuwa stress inaweza ikawa stress za kukosa kazi na za maisha pamoja na za kazini hapo nguvu za kiume zinatoka wapi.
Nani kasema kisayansi alitambuliki.,?
 
Hahahaha huyu wala sio wa leo wala jana
Ni mtu wangu permanent wa miaka hyo
Ila sasa anavyojitapa kwamba anajua Mambo tupashe kiporo weeeh
Namwangaliaaaaa nabaki yiiiii
.....ooh no kupasha vipori tena, usiseme hivyo bana wengine tuna wivu hadi kwenye id na avatar feki....
 
🤣 kiporo hakihitaji moto mwingi, ila wanawake kwenye hili huwa mnadharau sana kuna best angu mmoja amemsevu jamaa 30 seconds sababu ni hiyo tako 6 chali mpaka kesho kutwa.
Hahah unakubali kwamba 30secs wapo
Sasa kuna wanazi hapa wanadai ni kisima kisima kipana

Sasa kisima kipana na mtu kushindwa kuamka baada ya bao inahusika nini??
 
Ndani ya nusu saa tu uzi huu upo zaidi ya comment 150!
Kiasi gani tupo active kwenye hizi ushi.

Any way type ya shuguli zetu kila siku huwa zinatoa hatima yetu kwenye baadhi mambo likiwemo hilo.

I like may job kwa sababu karibu masaa 10 mpaka 13 kila siku ni mpera mpera! Sidhani kama kuna mwanamke anae weza kunitoa jasho .

Muhimu mazoezi.
Watu tupo serious kwa familia mkuu
 
Nikazi kubwa sana msichukulie poa.
Huwezi simamia ukucha 40mins, wakati unawaza kulipa kodi...Ukimkumbuka baba mwenye nyumba inanywea yenyewe[emoji125][emoji125]
Na huyo unaemla ashakufyonza sna hela na hapo ukimaliza anakuangalia usoni umtoe hela zaidi, yani uwe na nguvu za kumpa hela, za kumlidhisha via sugu, lazima vijana yawatokee ya hivi
 
Ndani ya nusu saa tu uzi huu upo zaidi ya comment 150!
Kiasi gani tupo active kwenye hizi ishu!

Any way type ya shuguli zetu kila siku huwa zinatoa hatima yetu kwenye baadhi mambo likiwemo hilo.

I like may job kwa sababu karibu masaa 10 mpaka 13 kila siku ni mpera mpera! Sidhani kama kuna mwanamke anae weza kunitoa jasho .

Muhimu mazoezi.
Pendael nlishakwambia usiwe unapita mitaa ya buguruni ukwamani usiku wa manane. Acha watu wafanye wanachopenda
 
Back
Top Bottom