Aisee kuna wanaume wavivu

Aisee kuna wanaume wavivu

Waungwana salama,

Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Ulikosea njia, hebu ukuje huku tukeshe😂
 
Hahahaha unakuta dak 2 ashakojoa na usingizi full. Ingekuwa sio tamu angekojoa dk2??
Sasa basi asimame angalau vinne
Ila kamoja...na usingizi ushambeba juu kwa juu
Hahahahahah nyie mnachukulia magoli ni kama mafungu ya mchicha eeh. 🤣🤣🤣...

Sema all in all jamaa kafeli angetia hata congo dust kama mtandao sio mzuri!
 
Back
Top Bottom