Aisee kuna wanaume wavivu

Aisee kuna wanaume wavivu

La kuuliza ni kuwa katika hayo maandalizi umemuandaaje muhusika? Ukute wiki nzima kuelekea kukutana ni mwendo wa vizinga tu.

Kwenye hicho kifo cha mende na wewe unachangia nini? Ukute kifo cha mende unakufa kweli, hata kope haitikisiki, unatarajia mtu atataka kuendelea akimaliza?

Mwili wako umeuandaaje na hiyo shughuli, unakuta bi dada una weave miezi mitatu, una kazi ya kujipiga makofi ya kichwa sababu ya muasho. Sasa hapo unataraji mtu atake kuendelea zaidi ya kimoja, maana vundo lake ni la kimataifa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah mkuu umenishinda tabia[emoji119][emoji119] point apo nikwamba alivowekwa kifo cha mende nae akaamua kufa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waungwana salama,

Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Tukiwaomba mbususu tuwapelekee moto hamtaki....haya nendeni kwa hao kimoko chali🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom