Kuna Mchango Nikisoma humu huwa naukumbuka nacheka, Kijana alisema akafika kwa mamsapu wake Akiwa so High, Stimu Zimelipiwa, Anajiona yaani ye ndio John Cena WWE KING you can't see him, his time was then.....
Fanya Romance pale mnara ukasoma 5G akaingiza Mtarimbo akapiga tacle zake kwa Uchu shwaa shwaa shwaaa tako 5 tu Mabeberu hawa hapa
Akaona hii Aibu ya Mwaka akajilalamisha cha kwanza kinawahi kisamehewe tu....
Cha pili tena tacle hata 20 hazikufika Mabeberu wana hasira dhidi ya Mwafika ma mali zake hawa hapa tena wamefika
Turudi kwa Mada, Kaa na Bwana Bao moja myaongee kwanini inakua hivyo, nini Kifanyike kuboresha... Kama Ni Kuzoeana sana basi Tafuteni njia na mbinu mpya za kuweza kuyakabili hayo. Inasaidia sana kuyaongea kwa pamoja kwa uwazi.