Aisee kuna wanaume wavivu

Aisee kuna wanaume wavivu

Waungwana salama,

Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo.

Naomba mnielewe yanii anapokojoa anahema vibaya na kuishiwa nguvu kabisa na usingizi juu kwa juu unambeba hadi ninamtikisa kuona kama bado uhai upo au ndo nimeua....

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Wakoromaji na 30 seconds Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Acha umalaya wewe, hayo ndio madhara ya kubadilisha badilisha wanaume kama chupi , inafika kipindi kila unayekutana unaona hakutoshelezi kwa sababu nguvu za ku bond zimeyeyuka zote kutokana na tabia za kimalaya malaya.
 
Mwenyew umefurahiii
Bao lililoambatana na kuishiwa nguvu linahusianaje na matarajio??
Maana amedinda haraka tu
Amekojoa haraka tu
Analilia utamuu
Ila sasa baada ya kupizi anaishiwa nguvu juu kwa juu kama kafa... hapo shida si yangu babu weeee
Kwahiyo kilichokukera ni kukojoa haraka au kushindwa kurudia?
 
Mnapata wapi hao wa dakika moja chali mm nikisha mwaga la kwanza dakika 15 najiandaa kufunga la 2 usiku mzima ni mechi hakuna kulala
 
Mnapata wapi hao wa dakika moja chali mm nikisha mwaga la kwanza dakika 15 najiandaa kufunga la 2 usiku mzima ni mechi hakuna kulala
My friend kila mtu huwa hivyo kabla ya Kuanza kupata msongo wa mawazo ya kodi, ada, maradhi, ajira, n.k alafu wife yeye home kutengeneza kucha na kukusubiri uje upige gori tano.
 
Waungwana salama,

Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo.

Naomba mnielewe yanii anapokojoa anahema vibaya na kuishiwa nguvu kabisa na usingizi juu kwa juu unambeba hadi ninamtikisa kuona kama bado uhai upo au ndo nimeua....

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Wakoromaji na 30 seconds Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Kwa kifupi huyo mtu ana stress na wewe pia si mbunifu. Akipata mwanamke mpya ukaenda kushuhidia show yake utapata habari tofauti.
 
Back
Top Bottom