Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #721
Kuliko nikifa wale nzi si bora ale mwanadamu na mimi hapo utamu napata.πππ
Yaishe mkuu.
Halafu Acheni unafiki maana mnazini sana tu ila kwakuwa nimeweka mada hapa mnajigeuza watakatifu wa siku na mkome kuja kwenye post zangu na fake I'd wakat mmejaa inbox wengi tu nimewakaushia.