Prem 96
JF-Expert Member
- Jul 19, 2019
- 607
- 1,971
China naval base vs USA military base ndani ya nchi mojaRais pia alifanya mazungumzo ma kamanda mkuu wa jeshi la china, Mchina amefanya propasal ya kuwa na naval base yake hapo bandarini lamu, kama ile ya djibouti waliyoizindua hivi majuzi. Watakuwa na manowari na nyambizi zao hapo lamu kama protection force ya meli zao.
View attachment 577164View attachment 577166