Aisee libandari letu la Lamu lakaribia kukamilika!

Foreign millitary bases si jambo jipya kwa ulimwengu wa leo, muingereza ana tayari bases mbili nchini kenya na zimekuwepo muda mrefu tu, nanyuki base (Batuk) na nyingine ya antimine training ambayo ipo nairobi.
Africa - British Army Website
Marekani naye ana base yake hapo hapo lamu eneo la manda bay, yaiitwa camp simba
View attachment 577328
Israeli defence force air unit nao wana air training unit nairobi pia, so its was only a matter of time mchina naye abishe hodi.
Ile ya mchina ilikua rumor tu. Wale majenerali wa China walikuja kwa mambo ya cooperation lakini pia walikua wamepewa barua na rais wao waje waisome na barua ile ilihus mahusiano ya kiuchumi baina ya hizo nchi mbili na ilitaja projects kadhaa ikiwemo Lamu port... Hapo ndo watu wakafikiria wale majenerali walikua wamekuja kwa mipango ya Naval base hapo lamu lakini ilikua sio hivyo..walikua wanasoma barua na salamu walizotumwa na rais wao
 
Nina swali, Bandari ya Lamu itahudumia eneo gani la Kenya/Nje? Yaani Miundo mbinu yake imeunganishwa na wapi? Mombasa najua tayari, lkn Lamu sijajua bado!
i-karte.jpg

Beach-Holidays-in-Kenya-Africa.jpg

Malindi-Beach-Kenya2.jpg

lights.jpg

d3a4c5fc756b2547d2766dea013c763e.jpg
 
LAPSSET ni project Kubwa.... Its bigger than an oil pipeline

click the pick to zoom an see the details
LAPSSET%20Transport%20Corridor%20Growth%20Area%20Map.jpg
 
1academ LAPSSET is a dead project
Tayari Ethiopia anapokea mizigo ya kutoka nje (akitumia bandari la mombasa ambalo liko mbali zaidi) na hata project ya Lapsset haijakamilika..

Isiolo-Moyale highway ambayo ni project ya lapsset tayari inafanya kazi

17126869_269003623527772_905878546268815360_n.jpg

18011668_282837838827107_6586153613351976960_n.jpg

Merile

34041007314_603e860b49_b.jpg

DFPNi9QUMAEYjO1.jpg

Angalia hapo kando mahali ma trailer ya lory za kwenda Ethiopia yanaweza kupumzika
DFPNxO8UMAEtAwu.jpg

33898008130_04186b6400_b.jpg

lamukenya+map.png
 
Hizi ndo barabara za LApseet zinazotarajiwa kujengwa
Ya Isiolo Moyale imeshakamilika bado ya Garisa Lamu na ya kwenda S.Sudan

CzN7ZgbWQAAEPM2.jpg:large

Ikiwa jambo la kwanza linalo kuja Kichwani ukitajiwa lapsset ni Bomba la mafuta basi umekosea...... Jambo la kwanza unafaa ulifikirie ni maisha ya Watu waliokua wametengwa tangu tulipopata uhuru wa nchi sasa wanaona hao ia ni wakenya... Lapsset is bigger than a pipeline

C7lHoO4VMAA9r_t.jpg
 
Aiseee ujenzi unazidi kusonga kwa kasi ya hatari, ili mwakani meli ya kwanza itie nanga mazee...yaaani itakuwa ni bonge ya trans-shipment port sipati picha dahh[emoji2] [emoji3] [emoji122] [emoji125] [emoji109]
zAkgLNB.jpg
Lt3O7Gn.jpg
nRUW5bl.jpg
vbuFXNy-1.jpg
 
Aiseee ujenzi unazidi kusonga kwa kasi ya hatari, ili mwakani meli ya kwanza itie nanga mazee...yaaani itakuwa ni bonge ya trans-shipment port sipati picha dahh[emoji2] [emoji3] [emoji122] [emoji125] [emoji109]
View attachment 604060View attachment 604062View attachment 604063View attachment 604064
Two big ports to save only two countries, basically only Uganda and Kenya, South Sudan and Ethiopia don't contribute much. Kiukweli ninaomba mnifahamishe, kwa sababu ninapata sana taabu kuona kama kweli kwa sasa hivi kutakua na biashara kubwa kwa hizi bandari za Kenya hasa hii ya Lamu, kwa sababu nchi nyingi zilizopakana na Kenya ambazo zilipaswa hasa kutumia bandari hizi ni useless.
 
you are a pessimist.
look at the bigger picture... open up your eyes. Kenyans are known to be aggressive. the project is aimed at reducing the workload of operations at the Mombasa Port, opening up the Northern Kenya region, serving S. Sudan & Ethiopia.... refer to the population of Ethiopia and add S. Sudan to it.
unapofanya biashara, usiogope hasara. Ethiopia ni nchi yenye population ya watu wengi sana... wacha tuendelee kurusha ndoana tu pole pole
 
meanwhile the new Lamu Port U/C will have
32 berths
Oil Refinery terminal
Oil Pipeline from Ngamia1 oil field Tullow Inc.
1 int'l airport
Sgr railway connectivity with double stack

Remember the whole project is financed by the GoK at a cost $30B Usd
 
you are a pessimist.
look at the bigger picture... open up your eyes. Kenyans are known to be aggressive. the project is aimed at reducing the workload of operations at the Mombasa Port, opening up the Northern Kenya region, serving S. Sudan & Ethiopia.... refer to the population of Ethiopia and add S. Sudan to it.
unapofanya biashara, usiogope hasara. Ethiopia ni nchi yenye population ya watu wengi sana... wacha tuendelee kurusha ndoana tu pole pole
Hapana kaka unakosea sana ukifanya biashara kubwa kama hii kwa kubahatisha, haiwezekani kabisa kama Uganda ikifanikiwa kujenga reli yake kwa pesa nyingi kuunganisha na Kenya, then wasiitumie hiyo reli waamue kutumia bandari ya Dar, dunia itawashangaa sana waganda kwa kitendo hicho. Ethiopia imetumia pesa nyingi kujenga reli hadi bandari ya Djibouti haitowezekana tena watumie bandari ya Lamu, hilo ni kama halipo na wala Ethiopia kamwe hawatofanya hivyo, ni lazima waipe biashara reli yao ili irudishe pesa, kwa hiyo Ethiopia kutumia bandari ya Lamu ni sawa na kuwaambia Rwanda wakimaliza kujenga reli kuunganisha na Dar, then watumie bandari ya Mombasa

Kenya ina tatizo sana la planning ya miradi, priorities nyingi ni corruption driven, hata kama hauna faida kwa taifa, lakini kama kuna watu wakubwa watanufaika, basi watalazimisha kitu kifanyike kwa manufaa yao, huu mradi wa bandari ya Lamu kwa sasa sio kipaumbele kabisa kwa Kenya, hasa ukizingatia kwamba upanuzi mkubwa wa bandari ya Mombasa ulikamilika juzi tu. Kwanini wasingesubiri kwanza na hizo pesa wakazitumia katika mahitaji muhimu zaidi ya msingi kwa wananchi, kumbuka Kenya sasa hivi ina matatizo makubwa sana ya uchumi, muda sio mrefu Kenya itawekwa kwenye black list ya nchi hatari kukopesheka, kwanini bado mna duplicate miradi?, Mombasa port ingeweza kukidhi mahitaji for next ten years from now, mbona green field terminal mlifutilia mbali na JKIA imeweza kufanya kaxi na kuziba hilo pengo?
 
look at the bigger picture
 
look at the bigger picture
Mbona vitu vipo wazi kabisa, ngoja nikupe mfano, Magufuli baada ya kuingia madarakani, alifanya assessment upya mradi wa bandari ya Bagamoyo, akaona sio busara kwa serikali kukopa pesa nyingi kiasi hiki kwa sasa, alichokifanya ameukabidhi mradi wote kwa financers, yaani China na Oman companies, ambazo kwa sasa watakuwa na 100% shares, serikali itapata taxes tu, kwa hiyo huu mradi utakuwa ni Purely privately owned, serikali haitohusika kukopa wala kuuendesha, wao watatafuta pesa kujenda na kuuendesha kama kiwanda tu, wakipata faida au hasara vyote juu yao, hata pesa ya compensation pia wamekubali watatoa wao, serikali ya Tanzania itabaki na bandari zake za zamani
 
sasa huoni kama ni GoT ndio itakuwa inaenda hasara hapo. wakati Lappset project ikikamilika by 2030, Kenya itakuwa inapata faida zote asilimia 100/100 na yote inaenda kuikuza uchumi direct. wakati nyinyi mutakuwa munapata only a fraction... na biashara inapozidi kuendelea ndivo inavozidi kukuwa.
mfano: utafiti wangu katika biashara ya uchukuzi, niligundua kuwa wale dereva wa pikipiki au magari huwa wanapata faida kubwa kushinda wamiliki wa gari/pikipiki hizo. yaani wao bora walielewana na mdosi watampelekea kitita cha pesa fulani basi ni hicho, hakipandi/hakishuki. biashara yoyote ukiifanya mwenyewe, bila shaka utapata faida maradufu.
like said, look at the bigger picture!
hii project ni ya kunufaosha Northern Kenya na kuteka soko la Ethiopia lililo na watu zaidi 100M... Ethiopia pia wana uhasama mkubwa sana Eritrea kilichowafanya wao kutengana na kuwa nchi mbili tofauti, sawa na ilivyotendeka Sudan kabla haijagawanyika.
 
like i said, look at the bigger picture!
hii project ni ya kunufaisha Northern Kenya na kuteka soko la Ethiopia lililo na watu zaidi 100M... ongeza 12M ya SS. Ethiopia pia wana uhasama mkubwa sana Eritrea kilichowafanya wao kutengana na kuwa nchi mbili tofauti, sawa na ilivyotendeka Sudan kabla haijagawanyika.
 
sasa huoni kama ni GoT ndio itakuwa inaenda hasara hapo. wakati Lappset project ikikamilika by 2030, Kenya itakuwa inapata faida zote asilimia 100/100 na yote inaenda kuikuza uchumi direct. wakati nyinyi mutakuwa munapata only a fraction... na biashara inapozidi kuendelea ndivo inavozidi kukuwa.
mfano: utafiti wangu katika biashara ya uchukuzi, niligundua kuwa wale dereva wa pikipiki au magari huwa wanapata faida kubwa kushinda wamiliki wa gari/pikipiki hizo. yaani wao bora walielewana na mdosi watampelekea kitita cha pesa fulani basi ni hicho, hakipandi/hakishuki. biashara yoyote ukiifanya mwenyewe, bila shaka utapata faida maradufu.
like said, look at the bigger picture!
hii project ni ya kunufaosha Northern Kenya na kuteka soko la Ethiopia lililo na watu zaidi 100M... Ethiopia pia wana uhasama mkubwa sana Eritrea kilichowafanya wao kutengana na kuwa nchi mbili tofauti, sawa na ilivyotendeka Sudan kabla haijagawanyika.
Kubali ukweli tu kwamba Kenya hamfanyi utafiti wa kina kabla ya kuchukua uamuzi ndiyo sababu mnapata matatizo ya kiuchumi, mfano mzuri ni kuanguka na kufilisika kwa KQ, bila kufanya utafiti na kudhani biashara itakua nzuri kama unavyofikiria wewe, Kenya Airways ilinunua na kukodi ndege nyingi kwa wakati mmoja, kinachotokea sasa wanapata hasara na ndege wanauza na kukodisha, kwa sasa hivi biashara dunia nzima imeshuka sana, shipping companies nyingi zimesimamisha meli zao na wanauza baadhi ya meli kama inavyofanya KQ, katika hali kama hiyo, sio kipindi sahihi kujenga bandari, ni bora kuboresha na kupanua iliyopo kama mlivyofanya ya Mombasa, mngesubiri kuona kama biashara itaboreka ndani ya kipindi cha miaka 5 hadi 10, kama ikiboreka ndiyo mjenge.

Tanzania baada ya kuona kwamba hali ya biashara sio nzuri, tumeamua kuboresha hizi bandari zetu 3 tulizonazo, kama biashara sio nzuri, sio busara kupanua biashara, endelea kuboresha na kuhakikisha uliyonayo haitetereki, kilichotokea kwa KQ, lazima kitatokea kwa Lamu port. Kwanini unasisitiza Ethiopia wakati nimekuambia wameshajenga reli wanatumia bandari ya Djibouti, acha kuchanganya kati ya Djibouti na Eritria, hizi ni nchi mbili tofauti, Addis na Djibouti ni karibu kuliko Lamu, ni Kama Kampala na Mombasa ilivyokaribu kuliko Kampala na Dar, kamwe haitowezekana Ethiopia kuacha kutumia reli yao ya umeme waliojenga kwa pesa yao, eti watumia usafiri wa barabara hadi Lamu, msipokua makini mtaendelea kupata hasara kama inavyotokea kwa KQ
 
my bad about Ethio-Erit War.
majibu yote utayapata hapa Lamu Port and Lamu-Southern Sudan-Ethiopia Transport Corridor - Wikipedia kuhusu Utafiti/Research Studies na Economic Internal Rates of Return/Viability which all scored above average and its also part of our Vision 2030.

kwa Tanzania na biashara nzuri/mbaya..... inategemea na uchumi wenu, how far you can stretch. kumbuka chochote Kenya inafanya/inataka kufanya saa hii, Tanzania inataka ikifanye kikubwa zaidi na bora. JPM alipopata dili la mafuta ya Uganda nilimsikia akirusha vijembe "....'Wao' wanadhani kila kitu kibora kinapatikana kwao tu....."
haina haja tuzungushane, Bagamoyo ilimshinda ndio maana akaipiga teke.
Lamu Port ilikuwa kwa mipango tangu 1975, wakati wake sasa umefika. biashara ni nzuri Mombasa Port ndio maana iliboreshwa tayari. Lamu Port will reduce the traffic congestion years to come.
 
Wala hatuna ushindani na Lamu port, kama ni ushindani ni Mombasa port, usizungumze kishabiki kwamba JPM Bagamoyo ilimshinda, nimekuambia amuamua kuwapa inverstors, mwenzoni ilikuwa serikali iwe na share asilimia 25, sasa hivi amezitoa zote na bandari itajengwa kibiashara, kwa hiyo hiyo $10B, itakuwa ni FDI sio mkopo tena, mtu anayeweza kujenga SGR kwa kutumia pesa yake atashindwaje kukopa pesa?, Kenya kila kitu inakopa, haina huwezo hata wa kui salvage KQ, kiasi kwamba ndege zake zipo hatarini kupigwa mnada na Banks zinazodai pesa zake, nchi inapata aibu kubwa na kudhalilika, bado inaendelea na miradi ya hovyo huku wananchi wanakufa kwa njaa, Kenya inaanza kuwa kituko ndani ya EAC.

Katika kubana matumizi na kuendeshsuchumi wa nchi kwa sasa, Kenya lazima ijifunze toka kwa Magufuli kabla nchi haijafilisika, hali nya uchumi wa Kenya ni mbaya na inaskitisha na hakuna dalili kama itaboreka kwa siku zijazo, kwa sababu viwanda vya Kenya vimeshindwa kupambana na bidhaa toka china na India, utalii unakaribia kufa kutokana na maamuzi ya hovyo ya kuingia Somalia wakati KDF lingeweza kuekwa mpakani na Somalia, transportation and logistics ndiyo hiyo KQ in on its death bed, kila kitu Kenya ina imports hadi Mahindi na matunda, uchumi usiokuwa na mizizi unategemea nini, siasa zisizokuwa na mwisho, kila tukiamka ni Uhuru na Raila, Kenya haina tofauti yoyote na South Sudan na Burundi kwa sasa, mkiambiwa mnakuwa wabishi hamtaki kujirekebisha, Lamu port is misplaced priority kwa sasa.

Back
Top Bottom