Aisee!! Maandamano ya 29.10.2025, mambo ni moto. Hongera kwa wapigania haki

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Kuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana.

Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma.

Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
 
Baada ya Samia kuapishwa urudi hapa tena kushabikia Maandamano hewa
 
Kuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana.

Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma.

Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
Nimekuelewa bila ya shida kabisa. Usiku wa 28/29 ni usiku wa ukombozi wa nchi yetu, Tanzania toka mikononi mwa waovu.
 
Naona huwatakii mema hawa waTanzania wenzetu
Ndio wajumbe nyumba 10 wamepewa maigizo ya kufanya ikifika hio siku igizo la kwanza ni kuwapitia watu majumbani km wemelala wawoamshe hata kwa makofi hilo ni igizo la kwanza
 
Najua humu wengi waooga ila binafsi jumlisha nitakuwa around tukutane magogoni
Amani itawale tufanye kwa amani polisi wakileta za kuleta maana waanzilishi wa vurugu na uvunjifu wa amani ni hao hao wenyewe kutaka sifa za watawala tutawaungia
 
Back
Top Bottom