Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,082
- 8,368
Kitanuka sio kidogoYakianza usiku itakuwa safi sana, there's power in darkness. Usiku panachafuka asubuhi magwanda yanapiga usafi mbele ya camera za kimataifa.
Kitanuka sio kidogoYakianza usiku itakuwa safi sana, there's power in darkness. Usiku panachafuka asubuhi magwanda yanapiga usafi mbele ya camera za kimataifa.
Mimi hawa ndio nitaanza nao nawasubiri kwa hamu sanaMwezi Mfupi sana huu ngoja siku zikaribirie maana wajumbe wa nyumba 10 wamepewa maigizo ya kukagua nyumba mpaka nyumba
Msisahau tu kuja kushabikia tena hapa Maandamano yenu. Sio mnapoteana tenaTena ataapishwa ukumbini kwako kabisa!
Tunawajua hawa keybord worrior wala wasikupe tabu.Msisahau tu kuja kushabikia tena hapa Maandamano yenu. Sio mnapoteana tena