Baada ya Samia kuapishwa urudi hapa tena kushabikia Maandamano hewaKuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana.
Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma.
Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
Nimekuelewa bila ya shida kabisa. Usiku wa 28/29 ni usiku wa ukombozi wa nchi yetu, Tanzania toka mikononi mwa waovu.Kuanzia matukio na maeneo yaliyopangwa, muda na mbinu zitakazotumika kutekeleza kila tukio vimekaa vizuri sana.
Tunaweza kuamshwa asubuhi ya 29.10.25 na breaking newz za kutosha sana ambazo zitaibua shangwe kwa umma.
Itoshe tu kusema usiku wa 28.10 ni mzito kuliko mchana wa 29.10
Naona huwatakii mema hawa waTanzania wenzetuMwezi Mfupi sana huu ngoja siku zikaribirie maana wajumbe wa nyumba 10 wamepewa maigizo ya kukagua nyumba mpaka nyumba
Hatutoi codes ",ng'o!!!"Hayo matukio, maeneo na mbinu yamepangwa wapi?
Tena ataapishwa ukumbini kwako kabisa!Baada ya Samia kuapishwa urudi hapa tena kushabikia Maandamano hewa
Mnatoa kwa nani mpaka useme mtaamshwa na breaking news?Hatuoni codes ",ng'o!!!"
Acha kua na akili za kijinga wewe,Ukisema wewe mkuu siwezi kuhoji
Ataenda kuapishwa Dubai na MasajuTena ataapishwa ukumbini kwako kabisa!
Huyu akiambiwa njoo niku🔥 lazima apeleke kijambio mana hawezi kuhojiAcha kua na akili za kijinga wewe,
Hujishtukii kusema eti fulani akisema jambo basi wewe unakua huwezi kuhoji?
Huyo ndio amekushikia akili zako?
Ndio wajumbe nyumba 10 wamepewa maigizo ya kufanya ikifika hio siku igizo la kwanza ni kuwapitia watu majumbani km wemelala wawoamshe hata kwa makofi hilo ni igizo la kwanzaNaona huwatakii mema hawa waTanzania wenzetu
Amani itawale tufanye kwa amani polisi wakileta za kuleta maana waanzilishi wa vurugu na uvunjifu wa amani ni hao hao wenyewe kutaka sifa za watawala tutawaungiaNajua humu wengi waooga ila binafsi jumlisha nitakuwa around tukutane magogoni