Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wiki iliyopita kuna jamaa kapatwa na kamsala kadogo. Sasa Mimi nikawa namfariji, nikamweka karibu kuliko siku za awali kabla ya shida.
Jamaa akaniita nimsindikize alipopaki gari yake akafungua mlango akatoa shekeli akanipa.
Kumbe machawa ndo wanapata shida kiasi hichi daaahh ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜.
Muda wote uunge mkono analotaka mtu mwenye pesa, umsifie, umtukuze, ujione wewe humzidi kitu hata kama umemzidi jambo fulani. Machawa wanateseka 🤣🤣🤣.
Lengo lilikuwa kumfariji tu sikuhitaji chochote kwake although kwa kipindi kile nilikuwa nina kauhitaji kidogo.
Machawa wanapitia magumu sana, wanawake mnaokula pesa za machawa Mungu anawazoom