Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati bosi anakuona kama zezeta lake lakini inabidi ukomae hivyo hivyoKazi ipo kwa machawa. Hio kazi acha kabisa. Niko ofisi flani, kuna mmoja wetu nichawa promax kila akiingia kazin lazima afike kwa boss angalau dakika kadhaa.
NB.Hio kitu inahitaji moyo si mchezo mchezo.